Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani amefanikiwa kuboresha sekta ya elimu amejenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 nchi nzima na kupelekea kufutwa kwa chaguo la pili kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza na leo wanafunzi wameanza masomo kwa pamoja bila kuhofia upungufu wa madarasa.
lakini pia ukiachana na ujenzi wa madarasa kuna watu wanahoji ya kuwa madarasa hayaendani na idadi ya walimu iliyopo lakini ukweli ni kwamba Rais Samia Suluhu ameajiri walimu zaidi ya 32000 nchi nzima lengo ikiwa kuboresha sekta ya elimu na kupunguza tatizo la ajira nchini.
Vilevile wazazi wanasema wamenufaika na ujenzi wa madarasa hayo maana hawajatoa mchango wowote ukilinganisha na miaka ya nyuma wazazi walilazimika kuchangia michango kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na wazazi wameongeza kuwa january hii sio ya stress ukilinganisha na kipindi kila cha kulipa ada.
Rais Samia Suluhu amefanikisha elimu bila ada kuanzia awali mpaka kidato cha sita sasa elimu ni lazima na sio hiyari mzazi ambaye hatampeleka mtoto wake shule anahatari ya kupelekwa polisi maana Rais Samia Suluhu amefabikisha elimu bure lengo ikiwa ni kuhakikisha watoto wote hata wanaotoka katika familia magumu wapate elimu.