Wengine huoa kwa kutafta watoto,
Wengine mapenzi,
Wengine mtu wa kisimamia biashara.
Wengine company.
Wengine kwa sababu ya umri kusogea.
Wengine kupata wa kulea watoto.
Wengne kupata wa kumpikia kufua usafi wa nyumba.
Lakini wengine ni kwa ajili ya kumpata wa kumsaidia ki maisha. Hapa ndo unaskia "siowi au siolewi na asiye na kazi"
hapana lazima awe na kazi na biashara nyingi nyingi tu .... tu pesa muhimuAsante..... Hapo inabid akuoe asiye na kazi ili muda wote uwe nae.... Then ahongwe ili aje akupe
Wewe unatarajia kuoa kwa sababu gani?