Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Hakuna lolote mahaba tu, yanakusumbua watu wakiamua kuibutua wanaibutua tu bila shida yoyote!
 
Wanyarwanda huwa mnapenda kujitutumua sana. Hakuna nch east africa ukiondoa burundi inaweza kukaogopa kwa Rwanda. Nadhani kipindi kile Kikwete alifikisha ujumbe vizuri tu na akasikika. Acheni kujipa faraja na kujitengeneza kama simba wa makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…