Je, ni halali kwa mtanzania kumiliki elecrtoshock weapon kama taser gun?

Muhimu turudi kwenye sheria tupate difinition ya silaha za moto.....msiingie kichwa kichwa Nyakoro anaweza kuruka na nyie
 
Maskini muulizaji hajapata jibu hadi leo. Baada ya swali zilifuatia porojo tu.
 
Kitanda changu na hz sufuria2 nazomiliki sidhani kama nahtaji hvyo "tuvitu" but enewei cwezi kupita bila kuweka kakoment kangu
 
Tanganyika arms hio taser wanauza, kumiliki lazima ufuate taratibu na sheria mkuu.
 
Aina ya utamaduni wetu yaani Collectivism inaondoa dhana ya kutumia pepper spray na taser guns kwani ukishatumia yule uliomdhuru unaweza kuishia kumtibu na kumhudumia. Kudhibitisha kuwa alikuwa na nia mbaya ni ngumu hasa kama mlikuwa wawili huko njiani .
Ushauri, Achana na hizo vitu
 
Back
Top Bottom