Je, ni halali kwa mtanzania kumiliki elecrtoshock weapon kama taser gun?

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,064
2,000
Naomba kuuliza kwa watu wenye uelewa kama anafahamu chochote kuhusu Serikali inaruhusu kumiliki hii kitu.

Kwa msiofahamu taser gun ni kifaa ambacho kinatoa umeme volts kazaa pale mtu unapo kugusisha mwilini au kukufaytulia na kukufikia ina discharge na kumfanya apigwe na shoti kama mtu kakuvamia.

Zipo za miundo tofauti kuna nuingine zinafanana na bastola na nyingine kama] accesories za kawaida.
1609179933036.png
1609179962430.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom