'Whatever houses I may visit, I will come for the benefit of the sick, remaining free of all intentional injustice, of all mischief and in particular of sexual relations with both female and male persons, be they free or slaves'.Madaktari wakiruhusiwa itakuwa ni full kuenjoy ,Tanzania hiyo ikoje?
<br />kwani kambaka? mbona nyie walimu mnakula ma-dent? choir master na kwaya member! padri kwa ccta! we km domo zege umba tafu! utaishia kula kwa macho!
'Whatever houses I may visit, I will come for the benefit of the sick, remaining free of all intentional injustice, of all mischief and in particular of sexual relations with both female and male persons, be they free or slaves'.
Hii ni sehemu ya Hippocratic oath ambayo madaktari wote ulimwenguni wanaapa kuifuata, so Tanzania katazo ni lile lile.
<br />Nadhani si mbaya kwa daktari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mgonjwa kwan ktk mapenz haijalishi ni wap na nan mapenzi hujengwa. Mapenzi yapo popote na kwa watu wowote mbaya hapa ni pale daktari atakapo lazimisha mapenz kwa mgonjwa wake ama pale daktari anapogeuza ofisi yake kama guest house.
<br />Conflict of interest