FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,888
- 43,778
Napendekeza hiyo faini ilipwe pamoja na Road license kwa TRA moja kwa moja, TPF wasijihusishe na ukusanyaji mapato, hiyo sio kazi yao. Kwanini umpangie mtu masharti magumu tena yenye riba kali sana ukichelewesha as if hiyo pesa alikopa benki..?!