My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,608
- 11,922
Unaoa bila kuacha
Ndoa 10 zote zinadumu
Maisha yana changamoto nyingi,na unapofanya maamuzi usitazame watu watakuchukuliaje.Hawa wanaotoa karatasi hawana tija kwenye maisha yako.Ukitaka kuthibitisha hilo,ugua ukiwa na miaka 45+ na uwe ni mtu wa kukaa kitandani....hapo utapata ukweli wa maisha yalivyo.Kinachofanyika katika ulimwengu huu ni mtu kupambana ili ile siku yenye changamoto awe na msaidiziJe, ikifika namba flani lets say ndoa 3 mtu aache kujishughulisha na makaratasi? Asogeze tu mtu aishi naye?
Ndo hvyo ila ni kumuonesha idadi kua hata 40 anaweza oaSasa ndoa kumi lazma itakuwa oa acha mkuu.
Hahahaha yes unakua allien[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio dunia ya Sasa yani uone wanawake 10 bila kuacha !#
Well said!Ndoa iko moyoni mwako, hata kama ni ya 99.....moyo wako una amani? una furaha? ukiwa navyo hivyo hiyo ndio ndoa halisi....
amani , upendo na furaha, kwani hapo Mungu anaishi.......
Kama wewe unavyomzidi smartBila shaka bi harusi Alipewa talaka anafunga ndoa nyingine. .afu anaonekana ni mkubwa zaidi
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukifanya vice versaHahahaha yes unakua allien
Mmoja tu namuwazia hao 10 nitawezea wapi[emoji1][emoji1][emoji1]Tukifanya vice versa
We unaweza kuolewa na watu Kumi ?
Sasa kipi hasa kitakushinda kwa huyo mmojaMmoja tu namuwazia hao 10 nitawezea wapi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaishie hapaSasa kipi hasa kitakushinda kwa huyo mmoja
Uvivu tuu eboo[emoji13][emoji13]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yaishie hapa
Zile zinafanya na mtu mmoja sio multiple[emoji38][emoji38][emoji38]
Na zile 365Night Stand anazifanya Nani ?