Dont stick your nose where it does not belongNadhani hatupaswi kuchomeka pua zetu katika mambo ya wengine.
Me nadhani pale jamii yako tuu itakapo kuchoka hapo ndio tuseme Wewe Ndoa basi uwe Mwanamke Au Mwanaume, Hatuwez Sema ndoa ngapi
.
Kuchokwa huko nadhan ni kote kote tuu , Huwezi kuwazungusha Watu kila Siku Ndoa uwe Mwanamke Au Mwanaume umachokwa vizuri
.
Nina Shangaz yangu harusi yake ya Mwisho ilikua ni ya Tatu, baada ya maharusi kuondoka watu wakasema hii ya mwisho hatuji tena [emoji38][emoji38]
Hap enyewe tulilkua wachache
Ndoa za Kwanza Sikuhudhulia kwa kweliHebu niambie, shangazi alionekana kuwa na bashasha kama za ndoa ya kwanza?
Anafikishaje Ndoa 10 bila kukera watu ??Mm naona ntu hata afunge 10 ni yeye mradi isiwe oa acha oa acha hapo utakera walimwengu
Nafikiri unaongelea harusi, Mleta mada anaongelea ndoa. Ndoa sio lazima iwe na sherehe ya harusi.Me nadhani pale jamii yako tuu itakapo kuchoka hapo ndio tuseme Wewe Ndoa basi uwe Mwanamke Au Mwanaume, Hatuwez Sema ndoa ngapi
.
Kuchokwa huko nadhan ni kote kote tuu , Huwezi kuwazungusha Watu kila Siku Ndoa uwe Mwanamke Au Mwanaume umachokwa vizuri
.
Nina Shangaz yangu harusi yake ya Mwisho ilikua ni ya Tatu, baada ya maharusi kuondoka watu wakasema hii ya mwisho hatuji tena [emoji38][emoji38]
Hap enyewe tulilkua wachache
Unaoa bila kuachaAnafikishaje Ndoa 10 bila kukera watu ??
Hapana Bhana, Nimezungumzia Ndoa harusi can't Stand AloneNafikiri unaongelea harusi, Mleta mada anaongelea ndoa. Ndoa sio lazima iwe na sherehe ya harusi.
Sent using Jamii Forums mobile app