Chokaa nje n uongo mkuuHabari wadau
Naomba ushauri, kwa kuta za nyumba ambazo zimepigwa chipping je naweza zipaka chokaa kama enzi za zamani (badala ya gypsum powder) kisha nipake rangi?
Asanteni kwa ushauri.
Chokaaa inatokana na nini? na gyp sum inatona na nini?Chokaa nje n uongo mkuu