Je, naweza kupata mkopo bila cheti?

Je, naweza kupata mkopo bila cheti?

EVATI

Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
18
Reaction score
8
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza ku-apply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alichochaguliwa hawatamuuliza cheti.
 
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza kuaply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alicho chaguliwa hawatamuuliza cheti
Huwezi ndugu adi uwe na cheti ndiyo unaweza kuomba mkopo
 
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza kuaply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alicho chaguliwa hawatamuuliza cheti
Ukiomba hutafungwa, wala huta kufa.

Bora uombe ukose kuliko usiombe kabisa
 
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza ku-apply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alichochaguliwa hawatamuuliza cheti.
mwaka Jana nilipata mkopo kwa transcript na chuo pia hofu ondoa kabisa ndugu
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Back
Top Bottom