Bachelor inabidi uwe na GPA ya 3.8, Master's inabidi uwe na GPA ya kuanzia 4.0, halafu usome PhD ndipo unaweza kufundisha chuo kikuu. Hata ukiwa na PhD, huwa wanaangalia kwenye bachelor kama una 3.8 GPA. Hivyo basi, kwa matokeo yako huwezi kuwa Lecturer wa chuo, labda kama unataka kuwa consultant na mtafiti wa kawaida au kufundisha kwenye vyuo vya private ambavyo undergraduate huwa wanaangalia GPA kuanzia 3.5, 3.6, 3.7 wanachukua