mumewanguu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 261 Reaction score 259 Mar 18, 2018 #1 Mwaka Jana nilichaguliwa nikakosa ada VP mwaka huu watanichagua?
Nakadi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,793 Reaction score 7,379 Mar 18, 2018 #2 Ulichaguliwa kozi gani..?
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,344 Mar 18, 2018 #3 mumewanguu said: Mwaka Jana nilichaguliwa nikakosa ada VP mwaka huu watanichagua? Click to expand... Hakuna sababu kwa nini usichaguliwe. Lakini ni vizuri kuwafahamisha NACTE yakuwa nafasi uliyochaguliwa mwaka jana huku itumia kwa sababu tajwa ili ikifika stage ya kuhakiki majina system isije ikasema uko chuoni tayari ukawekwa kando.
mumewanguu said: Mwaka Jana nilichaguliwa nikakosa ada VP mwaka huu watanichagua? Click to expand... Hakuna sababu kwa nini usichaguliwe. Lakini ni vizuri kuwafahamisha NACTE yakuwa nafasi uliyochaguliwa mwaka jana huku itumia kwa sababu tajwa ili ikifika stage ya kuhakiki majina system isije ikasema uko chuoni tayari ukawekwa kando.