D danel kasozi Member Joined Nov 1, 2015 Posts 19 Reaction score 0 Nov 25, 2015 #1 Naomba kujulishwa kama kuna wanachuo walio hitimu kidato cha 6 miaka 3 iliyopita waliopata mikopo?maana mimi nilimtuma mtu akaambiwa kuwa waliohitimu kidato cha 6,miaka 3 ya nyuma hawakupewa mkopo.sasa sijui lina ukweli kiasi gani.
Naomba kujulishwa kama kuna wanachuo walio hitimu kidato cha 6 miaka 3 iliyopita waliopata mikopo?maana mimi nilimtuma mtu akaambiwa kuwa waliohitimu kidato cha 6,miaka 3 ya nyuma hawakupewa mkopo.sasa sijui lina ukweli kiasi gani.
tuqdollie Member Joined Sep 24, 2014 Posts 12 Reaction score 0 Nov 25, 2015 #2 Io ata kwenye guideline zao wameandika
C chikobs3 New Member Joined Nov 1, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Nov 26, 2015 #3 mbona w2 kibao waliomaliza miaka hata m5 nyuma wamepata?
Ntaluke.N. JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,340 Reaction score 552 Nov 26, 2015 #4 Mwaka 2012 kurudi nyuma "not eligible" ila mwaka 2013+ ni "eligible" haya nimeyasikia kwa masikio yangu kwenye ofisi ya HESLB pale Mwenge DSM.
Mwaka 2012 kurudi nyuma "not eligible" ila mwaka 2013+ ni "eligible" haya nimeyasikia kwa masikio yangu kwenye ofisi ya HESLB pale Mwenge DSM.