Je namba za simu za NACTE zinapatikana muda wote?

Je namba za simu za NACTE zinapatikana muda wote?

Joined
Jul 13, 2016
Posts
10
Reaction score
0
Jamani naomba mnisaidie,,,, hivi nacte unaweza kupiga namba zao za sim mda wowote ukawapata ? Au wana muda wao maalumu ?
 
Jamani naomba mnisaidie,,,, hivi nacte unaweza kupiga namba zao za sim mda wowote ukawapata ? Au wana muda wao maalumu ?
mkuu namba zao ni muda wa kazi tu so piga muda wa kazi hawafanyi kazi usiku sio makamanda wa vita wale pole sana piga kesho muda wa kazi wa serikali ni 2:30 asb----11:00jioni
 
Hata upige mara 100 hua hawapokei simu usijisumbue sawa kama upo Dar nenda kwenye ofisi zao kwa msaada wa haraka la sivyo you gonna face the consequence oveeeer
 
Jana nilijaribu kuwapigia kati ya namba zipatazo kama kumi hivi zilikuwa hazipatikani totale.Nikabahatisha moja ambayo hata hivyo nilikuwa naambiwa kwa muda wote kuwa inatumika baadae nayo ikaingia mitini.Kwa hiyo zile namba wakati mwingine zinawashushia hadhi nacte waonekane kuwa chombo kibovu kuliko kawaida ya kipindi hiki cha kutumbuana majipu.
 
Ni kweli mkuu namba za nacte ukizipata ni bahati sana mara nyingi unaambiwa hazipatikani au inatumika na inaweza ikawa hivyo mpk ukachoka mwenyewe me naona ni bora tyu kufika ofisi zao kwa msaada zaid hapa nilipo nawaza ni bora tyu niende ofisini kwao ili nijue mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom