Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,660
BAkwata Ndo sheria Kwa mujibh wa Katiba. Tunasubir tangazo lakeUzi huu ni kwaajili ya kupeana updates za muandamo wa mwezi, ili tujue kama kesho ni siku ya kibaruani au mapumziko? Tuachane na habari za Bakwata. Je, huko ulipo wewe mwana jf mwezangu mwezi umeandama?
Ndugu zetu waislamu Tuhabarishane kama kesho ni EID au Vip ili tujue tunaenda kibaruani au vip
Mufti ametoa tamko chanel ten mda huu.Kesho hkna iddi. Kwan umeshamsikia sheeick zuber
Ahsante kwa taarifa ..Mufti ametoa tamko chanel ten mda huu.
Mwezi haujaonekana kesho tunafunga
Ukafirini!?Mwezi ulishaonekana huko Uarabuni (Maka na Madina), huku ukafirini bado mnangojea mwezi wa Bakwata?
watu wasio funga ndo wa kwanza kuulizia mwezi dadadeqTunaomba kauli inayoeleweka
Tunahitaji kujua mwezi umeonekana au laaa??
Tupe mrejesho bhanawatu wasio funga ndo wa kwanza kuulizia mwezi dadadeq
Kiongozi, kesho sio Idd!Tupe mrejesho bhana
Kama umetoka tujue maana bado sijaelewa.
Thanks dude be blessed.Kiongozi, kesho sio Idd!
Rejea post #28 hapo juu kwa uthibitisho zaidi!
Mwenye namba ya Mufti aweke nimpigie
Mkuu nyi endeleeni tu kufanga, ila mimi nikisikia mwezi umeandama popote pale duniani huwa nafungaMufti ametoa tamko chanel ten mda huu.
Mwezi haujaonekana kesho tunafunga
Khaaaaa 👺👺👺Mufti ametoa tamko chanel ten mda huu.
Mwezi haujaonekana kesho tunafunga
Jana umeandama Afghanistan na nchi karibia tatu leo wanasherekea Eid vp wewe leo kwako ilikuwa Eid?Mkuu nyi endeleeni tu kufanga, ila mimi nikisikia mwezi umeandama popote pale duniani huwa nafunga
Na nikisikia umeandama popote pale duniani huwa nafungulia
Eid mubaarak kwa wote ambao wanaidi kesho na pia keshokutwa!,Allah atukubalie amali zetu njema na atuhifadhi...Amiin!!
Uzi huu ni kwaajili ya kupeana updates za muandamo wa mwezi, ili tujue kama kesho ni siku ya kibaruani au mapumziko? Tuachane na habari za Bakwata. Je, huko ulipo wewe mwana jf mwezangu mwezi umeandama?