Sidhani kama mwanya ni kilema hasa ukizingatia kuwa haumzuii muhusika kutenda yale yatendwao na wasio na mwanya? Kama ni hivyo watu wengi sana wana 'vilema' maana maumbile yanatofautiana kutoka mwanadamu mmoja mpaka mwingine. Vipi kuhusu kipara?
Btw, ni nafasi kiasi gani kati ya jino na jino tunaweza kuiita mwanya? - maana ni kawaida kuwapo na nafasi kati ya jino na jino (hence the 'teeth picks'!).