Wanaume tupo mkuuNdo maana niko single kumbe. Wanaume wanazidi kuisha tu.
Sema kaka/dada una vidole vizuri kukunia nazi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sasa mtu hata kazi hana anaongelea sura wtf. mwambieni wanaume wenzie labda mwanaume handsome yukoje labda mtamtia hasira ya kwenda hata kubeba zege tuanze kumuita handsome na yeye.kwani we upo nchi gani? Huku kwetu pesa,gari na suti inatosha unaweza hata ukabakwa na wadada.
Mnazidi kupungua tu. Fanyeni mpango mtuoe hata watank watano kwa style hii tunaweza kosa kabisa wanaume wa kutuoaNi miaka huyu. Daah. Wanaume tumepata hasara nyingine hapa! Sijui wazazi wana hali gani!
Kaeni huko huko. Mshazoea vya kunyonga nyinyi! Kuchimbua mihogo Hujui, kumenya Hujui, kwenda Shamba uvune Mahindi uje kuchemsha tule! Huwezi. Kukamata kuku bandani, nichinje kisha umuandae, hauwezi! Wewe ishia huko huko na Kuku wenu waliochinjwa Johannesburg wiki iliopita!Wakati na sisi tunawataka nyie nyie wa mkoani. Tutakuja huko huko tule wote ugali asubuhi.
Si ndo tunafundishana taratibu tu mpaka nijue mkuu.Kaeni huko huko. Mshazoea vya kunyonga nyinyi! Kuchimbua mihogo Hujui, kumenya Hujui, kwenda Shamba uvune Mahindi uje kuchemsha tule! Huwezi. Kukamata kuku bandani, nichinje kisha umuandae, hauwezi! Wewe ishia huko huko na Kuku wenu waliochinjwa Johannesburg wiki iliopita!
Nikikufundisha utasema nakutesa! Ndoa utaita ndoano! Utaanza kuomba nauli urudi kwenu. Na huku kijijini hela mpk msimu wa mavuno!Si ndo tunafundishana taratibu tu mpaka nijue mkuu.
Mwanaume handsome ni mwenye bank account ambayo ni obese.
hahaha [emoji23][emoji28] kuku aliechinjwa jo'burg wiki iliyopita...aiseeKaeni huko huko. Mshazoea vya kunyonga nyinyi! Kuchimbua mihogo Hujui, kumenya Hujui, kwenda Shamba uvune Mahindi uje kuchemsha tule! Huwezi. Kukamata kuku bandani, nichinje kisha umuandae, hauwezi! Wewe ishia huko huko na Kuku wenu waliochinjwa Johannesburg wiki iliopita!
Hahaha.... hebu waambieMnazidi kupungua tu. Fanyeni mpango mtuoe hata watank watano kwa style hii tunaweza kosa kabisa wanaume wa kutuoa