Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Baada ya kuacha kutumia Moflix na kuhamia Huggies tatizo limeondoka. Issue hapa ni jee, hizi pampers za bei poa ni salama kweli kwa watoto?Mbona Kama hakuna mahusiano mkuu
Chukua tahadhari wewe mtu. Usidhani kila bidhaa ipo up to standards.Sasa hapo molfix inaingiaje, mpeleke mtoto hospital, acha kuaribu biashara ya watu.
Ndani ya Masaa 2 hali imebadilikaBaada ya kuacha kutumia Moflix na kuhamia Huggies tatizo limeondoka. Issue hapa ni jee, hizi pampers za bei poa ni salama kweli kwa watoto?
Wanaweka makemikali kuwadhuru watoto wa kiafrika.Ndani ya Masaa 2 hali imebadilika
Wanaweka makemikali kuwadhuru watoto wa kiafrika.
Hizi old school nappies ni changamoto sababu watoto hawapendi haswa usiku sababu hazifyonzi majimajiSipendi mwanangu avae diapers hata ziwe za Bei ghali, mi baba ila ni mwendo wa clean nepi hata Kama mama hatokuwapo namfunga mwenyewe, nafua mwenyewe, uvivu wa kushika uchafu wa mtoto ndo sababu ya hayo ma pempas
Mimi sikumbuki kama niliwahi kuzichukia, nitamuliza Mama yanguHizi old school nappies ni changamoto sababu watoto hawapendi
Huggies uko no ngapi?Baada ya kuacha kutumia Moflix na kuhamia Huggies tatizo limeondoka. Issue hapa ni jee, hizi pampers za bei poa ni salama kweli kwa watoto?
Aminia. Ukiwavalisha hizi, Watoto wanasumbua usiku.Mimi sikumbuki kama niliwahi kuzichukia, nitamuliza Mama yangu
Anaweza vaa pempers usiku ila mchana si vyema.Hizi old school nappies ni changamoto sababu watoto hawapendi haswa usiku sababu hazifyonzi majimaji
Tahadhari gani, umekalia kuchafua biashara za watu tu, huyo mtoto wako mmoja ndie aharibu brand za watu? Et Huggies, umeajiriwa huko?Chukua tahadhari wewe mtu. Usidhani kila bidhaa ipo up to standards.