Je mwanamke wa style Hii anafaa kuoa

Uyo achana nae amekuja kufanya kuthaminisha mali zako au kukutembelea mana mademu zetu hawa wanatufanyia usaili bila ridhaa yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wako ndo anaonekana mjuaji, mwanamke gani wa hivyo loh
Mimi mwenyewe nimemshangaa kwel , itakuwa uyu ameweka record ya dunia, yan unakaribishwa kwa mala yakwanza tu unaanza kuoji vitu kama mwandish wa habar yupo kwenye tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…