Ndiyo mala yakwanza kukaribishwa ?Labda anataka kuanza maisha na wewe kwahiyo anataka kujua amekukuta na nini ili ajue pa kuanzia.
Hawez kuiona yeye jf ataijulia wap?, kwa Dada zetu awa wakitanzania wengi awana uwelewa wakuijua jfHii picha uliyoweka JF aliiona?
Hii picha uliyoweka JF aliiona?
Hivi ndivyo unavyo andika ama kua mtoto wa darasa la nne ndie anakuandikia...!!??
Hawez kuiona yeye jf ataijulia wap?, kwa Dada zetu awa wakitanzania wengi awana uwelewa wakuijua jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao Hawajui kama kunakitu kinaitwa jf.Wadada waliokuwa jf ni wakongo?
Mkos gani? Mimi nilivyo msoma nimeona amekuja kwa lengo la kujua kwenye geto langu kuna vitu gani, alitegemea atakuta home theater, Flat screen , friji, kabet la manyoya fen, kitanda 6×6 , sasa alivyo tarajia kakuta tofautKijana hapo kimbia, hamna mke hapo ata kupiga usipige ,ni mkosi huo kwetu
Inaonesha jamaa unaishi nyumba haina hata choo as per ur DPHii picha uliyoweka JF aliiona?