Je, mwanamke anapomaliza hedhi tu anafaa kuingiliwa?

Ulitaka kuongea point, ulivyoingiza imani kwa tafsiri zako na wewe ukaingia kundi hili. Yeye discrimination by gender wewe religion
 
Mtu anamaliza hedhi asubuhi, jioni mkirudi unakula apple kama kawaida. Hujaoa itakuwa, having kinyaa coz it's nature, tena genye za kusubiri 4days zinakuwa sio za dunia hii.
 
dah we jamaaaa fala sana nimecheka kifala kama mazur hv hasa hapo mavuz kunasa kwenye meno hivi we bwana umewaza nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…