Je, mwanafunzi huyu anaeza kuchaguliwa second selection

Je, mwanafunzi huyu anaeza kuchaguliwa second selection

Croson

Member
Joined
May 29, 2020
Posts
13
Reaction score
1
Mimi nmemaliza kidato cha nne mwaka jana 2019 na matokeo yangu yakatoka mwaka huu 2020 ufaulu ulkua n civ - C Hist - D Geo - C Kisw - C Eng - C Chem - C Bio - C Phy - D Math - D jumla nkawa na division 3 ya point 22 na jinsia n male.

Lakin baada ya post za first selection kutoka wakanpangia chuo cha mipango mwanza n mm ndoto zangu zilikua kusoma PCB au CBG Je naeza kupata nafasi ya kupangiwa second selection...????
 
Back
Top Bottom