Mwalimu katika mafunzo yake huwa kuna somo la psychology ambalo mwalimu anajifunza mambo mbalimbali yanayo influence behavior ikiwemo biological bases(genetics) na environmental factors zinazoinfluence behaviour so the way mwanafunzi ana behave kuna link kati ya mazingira yanayomzunguka na maswala ya biological inherent.