manga mseke
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 470
- 90
Wandugu hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA. Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama.??? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe. Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini. Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.
Ndio hujayaona ya CHATO?Mzee Lowassa alisema ataambatana na wenyeviti vya mikoa 22 wakuu wa wilaya 80 makatibu wa wilaya 96 wabunge 50 sasa najiuliza hawa wote wangelifatana na Lowasa kweli ndani ya CHADEMA kungekalika?
Na Lowassa kama ikatokea kachukua nchi, Je hawa wote si atalazimika kuapachika serkalini ili kuapoza?
Na je wale ambao walioipigania CHADEMA toka mwanzo watakubali kuja kwa watu hao alafu wawakoseshe ulaji kwa chama walicokipigania kwa miaka mingi?
Je huko majimboni si moto utawaka kila siku kwa kugombea uongozi kama CCM?
Na je serkali ambayo ataunda bwana Lowassa itakuanatofauti na CCM?
Kwa sababu sura nyingi zitakua ni zilezile tu
Mungu tuepushe na balaa hili la shetani huyu Lowassa asije kuapa nchi marafiki zake wenye tamaa ya kufilisi nchi kama walivyo fanya wakia ndani ya CCM amen
Mzee Lowassa alisema ataambatana na wenyeviti vya mikoa 22 wakuu wa wilaya 80 makatibu wa wilaya 96 wabunge 50 sasa najiuliza hawa wote wangelifatana na Lowasa kweli ndani ya CHADEMA kungekalika?
Na Lowassa kama ikatokea kachukua nchi, Je hawa wote si atalazimika kuapachika serkalini ili kuapoza?
Na je wale ambao walioipigania CHADEMA toka mwanzo watakubali kuja kwa watu hao alafu wawakoseshe ulaji kwa chama walicokipigania kwa miaka mingi?
Je huko majimboni si moto utawaka kila siku kwa kugombea uongozi kama CCM?
Na je serkali ambayo ataunda bwana Lowassa itakuanatofauti na CCM?
Kwa sababu sura nyingi zitakua ni zilezile tu
Mungu tuepushe na balaa hili la shetani huyu Lowassa asije kuapa nchi marafiki zake wenye tamaa ya kufilisi nchi kama walivyo fanya wakia ndani ya CCM amen
Hayo maoni yako hapa sisi ni safari mpaka ikulu ndani ya october
Wandugu hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA. Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama.??? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe. Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini. Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.
Watanzania inatubidi tunyowe IQ zetu nchi hii kumpa jizi kama lowasa kwa kweli tutakau tumezama kwenye shimo kubwa ambalo hatuezi kutoka kwa miaka 5
Aliyaahidi wapi haya?? Gamba mkurupukaji at work
Hujitambui unatumia muda mrefu kuandika lakini hakuna kitu.