Nikisema kwamba sitaki kukaa Dodoma, nataka kupita Dodoma nikiwa njiani tu kuelekea Mwanza, utanishangaa ninaposema kwamba napita Dodoma?Mkuu sijafika huko kwenye kuichambua imani iwe ina contradictions au haina.
Bado nipo kwenye neno imani au kuamini,ulivyosema hautaki kuamini bali unataka kujua haukusema hautaki kuamini imani zenye contradictions tu.
Wewe mwenyewe umesema imani iwe njia ya kuufikia ukweli/kujua tusibaki kuamini tu.
Unasema kwamba imani iwe kama njia ya kuujua ukweli na sio kuishia tu kuamini,hivyo ni sawa na kusema imani ni dodoma ambayo unapita kwenda mwanza(ukweli).Nikisema kwamba sitaki kukaa Dodoma, nataka kupita Dodoma nikiwa njiani tu kuelekea Mwanza, utanishangaa ninaposema kwamba napita Dodoma?
Utasema inakuwaje unapita Dodoma kuelekea Mwanza, wakati wewe umesema hutaki kukaa Dodoma?
Unaelewa tofauti ya kupita na kukaa?
Nimesema sitaki kukaa Dodoma, napita tu kuelekea Mwanza. Umenikuta napita Dodoma unanishangaaje?
Utasema inakuwaje unapita Dodoma kuelekea Mwanza, wakati wewe umesema hutaki kukaa Dodoma?
Hilo ndilo swali unaloniuliza hapa.
Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?Unasema kwamba imani iwe kama njia ya kuujua ukweli na sio kuishia tu kuamini,hivyo ni sawa na kusema imani ni dodoma ambayo unapita kwenda mwanza(ukweli).
Sasa labda nikuulize toka watu waanze kuamini kuchomoza kwa jua(kupita dodoma) hadi leo bado hawajaufikia huo ukweli?(kufika mwanza)
Maana kama hadi leo hii kuchomoza kwa jua ni imani hivyo ni sawa na kwamba bado wapo njiani dodoma,hawajaujua ukweli na ndiyo maana bado wapo kwenye imani.
Sawa labda sikukuelewa,sasa fafanua ulikusudia nini uliposema dodoma na mwanza?Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?
Umefananishaje mawili hayo?
Kwa mantiki gani?
Kwa muktadha gani?
Kuchomoza jua lini?
Kwa mujibu wa nini na lini?
Ambacho hujaelewa kipi?Sawa labda sikukuelewa,sasa fafanua ulikusudia nini uliposema dodoma na mwanza?
Sasa mbona umenishangaa mie kufananisha kuchomoza kwa jua na dodoma? Au kuchomoza kwa jua sio imani tena?Ambacho hujaelewa kipi?
Tuseme Dodoma ni imani, Mwanza ni ujuzi/ukweli.
Nimekwambia sitaki kubaki kwenye imani (Dodoma) ingawa kwenyeimani hapo (Dodoma) kunaweza kuwa njiaya kunifikisha kwenye ujuzi/ukweli(Mwanza).
Sasa kwa nini ukinikuta kwenye gari nipo Dodoma, naelekea Mwanza, sijakaa Dodoma, napita tu, unashangaa kama vile nimeamua kukaa Dodoma?
Unachoshangaa na kuhoji ni kipi hasa?
Nimekuuliza maswali ambayo hujayajibu, na maadam hujayajibu, unaniruhusu kuendelea kukushangaa unavyoshangaa ninavyoshangaa, hujajibu maswali yangu, nikishangaa utashangaaje ninavyoshangaa wakatihujanijibu umalize mshangao?Sasa mbona umenishangaa mie kufananisha kuchomoza kwa jua na dodoma? Au kuchomoza kwa jua sio imani tena?
Hana hoja yoyote Sema tu anataka kuaminisha watu hakuna Mungu wakati nafsi yake mwenyewe inamsuta.Hoja za kiranga ni ngumu sana kiufupi hazijibiki
Mbona nimekuuliza maswali hujajibu?Nimekuuliza maswali ambayo hujayajibu, na maadam hujayajibu, unaniruhusu kuendelea kukushangaa unavyoshangaa ninavyoshangaa, hujajibu maswali yangu, nikishangaa utashangaaje ninavyoshangaa wakatihujanijibu umalize mshangao?
Nimekuuliza.
Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?
Umefananishaje mawili hayo?
Kwa mantiki gani?
Kwa muktadha gani?
Kuchomoza jua lini?
Kwa mujibu wa nini na lini?
Hujajibu hata swali moja katiya haya.
Unajua wewe ndiyo uliyoleta habari za dodoma na mwanza,mie nilipofananisha dodoma na mwanza ukanishangaa na kuniuliza hayo maswali ila mie ndiyo nikaona bora nikuombe ufafanuzi kwa.ba ulikusudia nini kusema dodoma na mwanza?Nimekuuliza maswali ambayo hujayajibu, na maadam hujayajibu, unaniruhusu kuendelea kukushangaa unavyoshangaa ninavyoshangaa, hujajibu maswali yangu, nikishangaa utashangaaje?
Nimekuuliza.
Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?
Umefananishaje mawili hayo?
Kwa mantiki gani?
Kwa muktadha gani?
Kuchomoza jua lini?
Kwa mujibu wa nini na lini?
Hujajibu hata swali moja katiya haya.
Maswaliyapina wapi? Mimi kawaida hujibu maswali yote yenye kujibika kimantiki, hata kamajibu langu nikujibu kwamba sijui jibu.Mbona nimekuuliza maswali hujajibu?
Maswali yangu niliyokuliza hujajibu.Unajua wewe ndiyo uliyoleta habari za dodoma na mwanza,mie nilipofananisha dodoma na mwanza ukanishangaa na kuniuliza hayo maswali ila mie ndiyo nikaona bora nikuombe ufafanuzi kwa.ba ulikusudia nini kusema dodoma na mwanza?
Na ufafanuzi hauna tofauti na nilichoeleza ila ajabu unataka nijibu maswali wakati nilishakuomba ufafanuzi.
Nilikuuliza hivi, ulijulia wapi wema na uovu?Maswaliyapina wapi? Mimi kawaida hujibu maswali yote yenye kujibika kimantiki, hata kamajibu langu nikujibu kwamba sijui jibu.
Na yasiyojibikakimantiki husema hayajibiki kimantiki, kwa kutoa sababu.
Ila,sina uhakika kama maswaliyako nimeyaona aunimepitiwa.
Hivyo, nakuomba unioneshe kwa namba ya post au kwa kuyanukuu.
Ila kama nimekujibu, hujaelewajibu, hilo ni tatizo lako, si langu.
Mbona nakumbuka nimelijibu swali hilo kirefu sana kwa mifano na mantiki?Nilikuuliza hivi, ulijulia wapi wema na uovu?
So ni vitu ambavyo havipo kwenye utashi wako mpaka ukopi na kupaste?Mbona nakumbuka nimelijibu swali hilo kirefu sana kwa mifano na mantiki?
Au ukipewa jibu usilolipenda unaona si jibu?
Unataka nirudie ku copy and paste hapa?
Havipo kwenye utashi wangukivipiwakati na copy na ku paste vitu ambavyo nimeandika kukujibu, ukajifanya hujaviona?So ni vitu ambavyo havipo kwenye utashi wako mpaka ukopi na kupaste?
Nipe mfano wako wewe ambao si completely irrelevant!Completely irrelevant example.
Kwa nini mfano huu ni "completely irrelevant" ?Completely irrelevant example.
Mungu aliweza au alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko ya ardhi yanayofukia na kuzika hai watoto wadogo wachanga wasio na hatia?si kila bada linaletwa na mungu, hata siku moja mungu asingependa wanadamu wafe au wapotee but kama unakumbuka lile neno linalosema ole wao wakaao katika nchi kwa kuwa mshitaki wenu ameshushwa duniani Basi unamjua mshitaki wako ni nani, jibu ni Shetani ambaye ni mungu wa dunia. Jiepushe na roho zidanganyazo maana shetani alipotupwa duniani alishuka na baadhi ya malaika waliokuwa wakimkubari pia na ndio hao wanaotoa vishawishi vya mtu kutomuamini kama mungu hayupo
Sidhani kama hapa tupo kwenye chumba cha mtihani,nachojua hapa tunajadiliana. Tatizo umejielekeza ushindani wa ubishi na mie sipo hapa kushindana na wewe kuonesha ni nani mbishi au ana maswali magumu.Maswali yangu niliyokuliza hujajibu.
Usitake nijibu lolote kabla ya kujibu maswali yangu kwanza.
Utakuwaunataka kujibiwa bila wewe kujibu, na majibu mengine yanahitaji ujibu kwanza.
Nimekuuliza.
Nani kakwambia kuchomoza kwa jua ni sawa na kupita Dodoma?
Umefananishaje mawili hayo?
Kwa mantiki gani?
Kwa muktadha gani?
Kuchomoza jua lini?
Kwa mujibu wa nini na lini?
Hujajibu hata swali moja katiya haya.