BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
Nashukuru kwa kukiri kuwepo kwetu duniani kunaweza kuwa kumesababishwa na jambo lingine ambalo hatulijui...... Na hilo jambo ndio Mungu, japo baadhi ya watu wanabisha bila kuwa na maelezo ya msingi .Unataka kukataa proof ya kwamba Mungu hayupo inayotumia logic, halafu hapo hapo unataka tukubali proof yako kwamba Mungu yupo ambayo inatumia logic?
That alone is a contradiction, double standard.
Halafu, hata logic uliyotumia, tukisema tukubali logic, ina makosa.
Umefanya kosa la "non sequitur" katika logic.
Umeunganisha premise na conclusion kwa assumption ambayo haina msingi wa ukweli.
Just because we are here,it does not follow that we were created by God.
It could be something totally different that we don't know.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kama unakubalilogic, tusha prove hayupo.
Kamahukubali logic, huwezi kukubali chochote, hata 1+1 =2, hata huyo Mungu wakohumkubali, maana hata kitendo cha kukubalikitu kipo au hakipo ni logic tayari, kwa hivyo ukikataa logic umekataa kukubali Mungu yupo pia..
Mama katika imani juu ya Mungu wengi wetu huamini Mungu ni kitu kimoja lakini kuna aina kuu 3 za imni juu ya Mungu, 1. Monotheism 2. Polytheism na 3.Deism Lakini Majority ya dini duniani zinaamini katika hiyo aina ya kwanza Monotheism.
Ili kuweza kukuza na kuweza kucounter check hiyo nadharia ya imani kuangamia naturally nashauri zielewe aina zote tatu!..
Ukristo, uislamu, uyahudi na some other dini wanaamini katika Mungu mmoja which is that Monotheism lakini what if nikikwambia kuna watu wanaamini katika uungu ndani yao, what about wale wanaoamini ng'ombe hawa how will their faith die?... sorry kama nimetumia harsh terms!
Heeee,That is not a God my friend, that may be some Superman or Batman or King Kong or Godzilla or some very intelligent alien, but not God.
Unajua unapoandika kwamba jambo ambalo hatulijui ni Mungu unafanya makosa haya.Nashukuru kwa kukiri kuwepo kwetu duniani kunaweza kuwa kumesababishwa na jambo lingine ambalo hatulijui...... Na hilo jambo ndio Mungu, japo baadhi ya watu wanabisha bila kuwa na maelezo ya msingi .
Vinginevyo embu tumia logic kuelezea binadamu tumefikaje hapa duniani. I know u don't have that explanation.
Nikiwemo mm pia kama genius huyu jamaa kweny jopo letu la magenius tunamfahamuumeona eeehhh ...yaani unaanzaje kutomjua kiranga ..wakati ma genius wakubwa wakubwa wote waliopo humu wanamtambua
Hii habari ya kuamini kwamba kitu usichokifahamu kimetokea kwa uwezo wa Mungu,bila hata kukichunguza na kukijua, ndiyo iliwafanya baadhi ya babu zetu kuamini Wazungu ni miungukwa sababu wana gramophone inapiga muziki, au wanaweza kutabiri kupatwa kwa jua.Heeee,
karibu genius ..nawewe anza kumwaga nondo ..tuachie lolote lile unalolijua kuhusu uwepo wa Mungu kama yupo kweli au LA !!!?Nikiwemo mm pia kama genius huyu jamaa kweny jopo letu la magenius tunamfahamu
Kasome kitabu cha mwanzo utajua kwamba Mungu alituumbia hiyo 'dunia' isiyo na dhambi, isiyo na mateso, isiyo na shida lakini binadamu akatenda dhambi iliyofanya Mungu amuadhibu huyu binadamu ambapo leo anaishi hivi unavyomuona.MKUU mpka muda huu mmeshindwa kutoa ithibati ya uwepo wa MUNGU wenu "" MUNGU Mwenye upendo "" MUNGU mwenye huruma..Mungu Mwenye uweza wa yote ...ajabu nikwamba Mungu Mwenye uweza wa yote na Mwenye huruma tunaambiwa kuw ameanda moto kwaajili ya kuwachoma watu anaojinadi kuwa anawapenda logic yake kubwa ikiwa nikwasabbu hao watu niwatenda maovu ...swali linakuja kwako upya kama Mungu nimuweza wa yote alishindwa nini kuiumba dunia bila uwepo wa maovu "alishindwa nini kuwafnya watu wote kuwa niwatenda mema ili kuifnya dunia Iwe mahala salama pakuishi pasipo uwepo wa machafuko ...na kama alikuwa anaweza kufnya hivyo kisha hakufnya kwa makusudi inamaaana Mungu huyo sio kwli kwamba ana upendo maana kama angekuwa nao asingeumba viumbe ambavyo ameshindwa kuviweka ktika dunia isiyo na dhambi kwaajili ya uweza wake wote kisha kwa makusudi anakwenda kuvichoma ...
huo upendo wake uko wapi hapo "" hivi ina ingia akilini kweli ??
mungu huyu anastaajabisha mnooo
Kwakweli ni mada ndefu lkini kama una access ya jukwaa la dini kaitafute inaitwa Mungu, Dini na Imani uisome!..hapana mkuu najifunza hapa...................kwa manufaa ya wote...embu tueleze Zaidi juu ya aina kuu tatu za Imani juu ya Mungu?
hii midude wakat anafundisha dr mihonjo udsm unaweza datasyllogisim,mkuu hio kitu inasumbua....lol
Unapoelezea uwepo wa Mungu halafu ukaiquote Biblia tambua Waislamu hawatakuwa upande wako!.. unazani kwanini?, hawaamini katika uwepo wa utatu mtakatifu, hawaamini katika yesu kuwa Mungu na kwa point kama hizo watu kama kina kiranga wanatumia divide-rule kuweza attack point zenu!..Kasome kitabu cha mwanzo utajua kwamba Mungu alituumbia hiyo 'dunia' isiyo na dhambi, isiyo na mateso, isiyo na shida lakini binadamu akatenda dhambi iliyofanya Mungu amuadhibu huyu binadamu ambapo leo anaishi hivi unavyomuona.
Hata hivyo Mungu hakumtupa kiumbe wake, akamleta Yesu Kristo, mwana wake wa pekee ili kila amuaminie apate Uzima milele na katika huo Uzima wa milele ndio tutarudi kwenye raha ya milele ambayo Adam na Eva walitusababishia tuikose
Lakini baada ya Yesu Kristo wa Nazareth kupaa mbinguni kwa namna Mungu Anavyotupenda akatuachia roho mtakatifu ili atuangalie.
Hivyo kusema Mungu hatujali ni kutojua neno la Mungu.
huyo mtu mmoja id 2 tofauti[emoji2][emoji2]Yupo na mwenzake Al watan nae anahoja kama hizo [emoji16][emoji16]
wewe nawe umekuja huku ...huku hapakufai mamaa waweza jikuta unaacha kubeba Bible na kuacha kwenda church
Ahaaa hahaaaaa. ...hebu tuache aiseee bakieni na Mungu wenuHaaaa nayapata vizuri mno mno hayo madude... nilisomaga sijui wapi watu walikua wanatuona kama wehu........ miaka hiyoooo nilisomaga philosophy ila kuiapply yote in real life ndo hapana aisee.. sasa kutana na mtu kasoma philosophy akaunganisha na sharia ajajajajajajajajajajaj mwehu kasorobo
cc Smart911
Bado sijajua usichoelewa hapo ni nini unless uwe unataka ligiUnajua unapoandikakwamba jamboambalo hatulijuini Mungu unafanya makosa haya.
1. Logical non sequitur - ume conclude kitu bila kuunganisha premise na conclusion. Umeambiwa kunamjiunaitwa Washington DC, ukahitimisha lazima upo Tanzania. Bilakutoa sababu.
2. Umefanya uvivu - hujajishughulisha kuchunguza iliujue sababu,umerahisisha tujibu kwamba sababu ni Mungu.Hii ni sababu moja kubwa watu wanaamini Mungu yupo. Hawataki kufanya uchunguzi kujua sababu za vitu,kitu chochote wasichokielewa ni "kazi ya Mungu' tu.
3. Nishaeleza hapojuu kwamba hata kama sijui jibu sahihi lakuelezea watu tumefikaje hapa duniani, hilo halina maana kwamba nikipewa jibulisilosahihi ni lazima nitashindwa kujua hili jibu si sahihi.
Tumeona kwamba unaweza ukawa hujui square root ya 2 ni nini, lakiniukajua kwamba jibu si 10.
Kwa sababu jibu hili lina contradiction inayoonesha jibu ni la uongo.
Naweza kuwa sijui watu tumefikaje hapa duniani, lakini nikajua jibu si Mungu.
Kwa sababu jibu hili lina contradiction inayoonesha jibu ni la uongo.