Hiyo SIMILE katika mfano namba 3 yadhihirisha WAZI kabisa kuwa mtoa comment ni mtu wa SHARI ....Hapo katika logic umefanya kosa linaitwa non sequitur.
www.dictionary.com
non se·qui·tur
ˌnän ˈsekwədər/
noun
a conclusion or statement that does not logically follow from the previous argument or statement.
Umeunganisha premise na conclusion wakati hazina uhusiano.
Ni kama vile umesema.
1.Kila mwanamke ni mtu.
2.John Magufuli ni mtu.
3.Hivyo, John Magufuli ni mwanamke.
Tukikubali kwamba kila kitu kina mwanzo wake (nitarudi hapa kama ukiweka kwenda nami), hujathibitisha chanzo chetu ni Mungu. Umelazimisha bila kuonesha kimantiki umetokaje kwenye "kila kitu kina chanzo chake" ukafika kwenye "chanzo chetu ni Mungu".
Umeruka step na kufikia conclusion uliyoitoa hewani kama yuke aliyefikia conclusion ya "John Magufuli ni mwanamke".
Hujajibu suala la "the problem of evil".
Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea?
Je, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini hakutaka tu?
Kama ni hivyo, je, ni kweli ana upendo wote?
Au, alitaka kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, lakini hakiweza tu?
Kama ni hivyo, je, ni kweli ana uwezo wote?
Mungu huyu yupo kweli au ni hadithi za mapokeo tu?
mm mwenyewe n follower wa kiranga ndo ameninfluence kupenda hiv vitu vya falsafa na dini.hahaaaaa ukishamaliza hayo masomo yako njoo utupatie nondo huku "" huwenda ukajitahidi kujibu hoja zake ...lakini sio rahisi
Hii ni kamali. Si uthibitisho.We are all in the same game, just different levels, dealing with the same hell, just different devils.
But bora huamini yupo huende humkose, kuliko kuamini hayupo halafu mwisho wa siku unaenda unamkuta.
okay ...basiii tupo pamojamm mwenyewe n follower wa kiranga ndo ameninfluence kupenda hiv vitu vya falsafa na dini.
Hapana. Unapoprove kwamba square root ya 2 haiwezi kuwa 10 hutumii mlango wowote mmoja wa fahamu kati ya mitano.Hapa naona kuna wanaoamini kwamba kama huwezi ku prove uwepo wa jambo kwa kutumia milango 5 ya fahamu basi hilo jambo kwao halipo (MATERIALISTS)
Na kundi la pili ni wale wanaoamini iwe jambo unaweza kulithibisha kwa milango 5 ya fahamu au laa.... Kama lipo, basi lipo tu (IDEALISTS)
HUU UBISHI HAUJAWAHI KUPATA MSHINDI.
Kiranga anaonekana ana hoja kwa kuwa hoja zake zinathibitika kisayansi, zinaonekana hivyo ni rahisi kushawishi wengine.
Wale wenye hoja ambazo hazithibitiki kimwili/kisayansi ndio wanapata shida kushawishi, lakini hiyo haimaanishi kwamba wanachosema si kweli
Kiongozi mwambie tu ... Biblia yasema "MPUMBAVU" anaamini moyoni mwake HAKUNA MUNGU ....Skeptics kama hao hatupotezi muda. Tunawaelekeza kwenye hoja ya msingi. Mambo ya Mungu hayajulikani kwa kuona, kutazama, kuchunguza na mengineyo bali kwa imani. Biblia ibasema wazj ni *********** tu anayesema hakuna Mungu. Yaani "common sense" itakueleza tu Mungu yupo. Philosophy of Religion inadeal na maswali ambayo Kiranga hagusii sasa nipoteze muda wa nini. Aamini tu asisumbue watu humu JF.
Mnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.Mungu anajithibitisha
Mwenyewe.
Na kamwe hathibitishwi na Binadamu.
Ni kama wewe unapomzaa mtoto, huyo mtoto hawezi kuwajua wazazi wale hadi wajitambulishe kwake kuwa
' sisi ndio wazazi wako"
Huyu mzazi ni binadamu na unaishi naye hapa duniani.
Ni vigumu zaid kwa Mungu ambaye sio binadamu na haonekani kwa macho ya watu.
Ndio maana ukisoma Biblia, utaona Musa alikuwa hamjui Mungu lakini Mungu alipotaka kuzungumza naye alijitambulisha kwake maana Musa hakujua chochote.
moja ya utambulisho aliambiwa "MIMI NIKO AMBAYE NIKO" au "Mimi Mungu wa Ibrahimu, Isaka ya Yakobo"
Bila huo utambulisho Musa pamoja na Manabii wengine wasingejua nani anawapa maagizo.
Katika Biblia tofauti na vitabu vingine, Malaika au Mungu mwenyewe walikuwa wanajitambulisha kila wanapo kutana na binadamu kwa nia ya kuwapa maagizo ya kufanya.
Akitokea mtu anasema anataka wewe binadamu umthibitishie uwepo wa Mungu au Malaika kwa kuwaonesha ili awaone kwa macho jambo hili haliwezekana.
Kinachowezekana ni kumwambia asome maandiko ya Mungu mwenyewe.
Kwa mfano.
Mungu alimwagiza Musa aandike kila anacho mwambia au kumwagiza ili kizazi kijacho wasome na kuelewa uwepo wake.
Hivyo sio hiari ya Mungu kutaka kila binadamu amwone na kumthibitisha, yeye ndie anaye amua amthibitishie nani uwepo wake ili naye akawaambie wengine.
Hata sisi leo ndivyo tunavyoweza kusema.
Kama mtu hawaamini Manabii basi nina uhakika hata Mungu akija na kujitambulisha kwao kuwa yeye ndiye, hao watu watambishia.
Kwani kubisha ni hiari ya mtu, kila siku tunaona wazazi wanawakana watoto wao wa kuwazaa, na watoto pia wanawakana wazazi wao.
Uta sikia
"kuanzia leo wewe sio mwanangu"
Kuna kubisha kwa kutoelewa, na kubisha kama mila au utamaduni wa mtu. Hao wa kwanza wanaweza kuelimishwa na wakaelewa ila hao wa pili ni fani yao.
Ukitaka kumthibitisha Mungu mtafute mwenyewe, maana anasema anapatikana, utampataje Soma Biblia anaeleza jinsi ya kumpata.
Usitake utafutiwe na mtu mwingine halafu ndio akuletee umwone, huyo mtu kamwe hataweza kwani Mungu hapatikani kwa jinsi hiyo.
Alfa na Omega
Aisee wewe jasiri kweli. Mimi nilimhurumia.Kiongozi mwambie tu ... Biblia yasema "MPUMBAVU" anaamini moyoni mwake HAKUNA MUNGU ....
Tatizo unamfananisha Mungu na Binadamu.Mnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.
Mnasema Mungu anajithibitisha mwenyewe.
Kuna wanaosema yupo, apparently amejithibitisha kwao.
Kuna tunaokataa. Hajajithibitisha kwetu.
Inakuwaje Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, awapendelee wengine kwa kujithibitisha kwao, halafu wengine atutuoe, asijithibitishe kwetu?
Tukikosa kumjua na kufariki na dhambi (kwa sababu hajajithibitisha kwetu), suku ya hukumu akituuliza kwa nini nyinyi mlinikana nanhamkunioenda, tykasema Mungu wewe mwenye uwezo wote, unayepanga yote, hukutuoa neema ya kujithibitisha kwetu, atasemaje?
Hivi mzazi anaweza kumnyima mtoto nafasi ya kujifunza kusoma, halafu mtoto akishindwa kujua kusoma, mzazi awe na haki ya kumuadhibu mtoto kwa sababu mtoto hajui kusima?
.Mnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.

Kama kila anachokifanya Mungu ni chema, imewezekanaje kwa Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya kuwemo?Tatizo unamfananisha Mungu na Binadamu.
Mungu kila anachofanya ni chema na kamwe hampendelei mtu yoyote.
Amekuwekea mazingira ya kukustawisha kwa upendeleo mkubwa, amekupa uhai, akili, afya njema, hewa, maji, chakula, viungo muhimu vya mwili nk,
BURE KABISA.
Kama Mungu amehiari kumthibitishia mtu uwepo wake hiyo tunaiita NEEMA na sio UPENDELEO.
Neema hailazimishwi ni thawabu ambayo ipo kwenye utaratibu wa Mungu mwenyewe.
Ndio maana unaweza kukuta binadamu huyu ana kipaji cha mpira, mwingine ana akili nyingi kama Kiranga, mwingine ana nguvu kama Tyson, mwingine Mrefu mwingine ana mbio nyingi.
Kila binadamu ana Neema flani ya kipekee tofauti na mwingine.
Ndivyo inavyompendeza Mungu na sio sisi Binadamu.
I'll always stand FIRM according to what the HOLY SCRIPTURES say/reveal to HUMAN KINDAisee wewe jasiri kweli. Mimi nilimhurumia.
Tumejadili hii aya na kuona kwamba kuogopa kuitwa mpumbavu kwa sababu ya aya kulikokuogopa upumbavu wenyewe ni upumbavu mkubwa zaidi.Mpumbavu kasema moyoni mwake hakuna Mungu
The so called holy scriptures donot say one thing, they contradict themselves all over the place.I'll always stand FIRM according to what the HOLY SCRIPTURES say/reveal to HUMAN KIND
Kumbuka SKU ya mwsho ni hukumu tu na sio hearing of cases .hakuna pa kukata rufaa wala kuomba kurejewa kwa hukumu upya( review of cases) sasa hayo maswali ya kumuulza Mungu cku ya mwsho sio ajabu ukakosa iyo nafasMnasema Mungu ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.
Mnasema Mungu anajithibitisha mwenyewe.
Kuna wanaosema yupo, apparently amejithibitisha kwao.
Kuna tunaokataa. Hajajithibitisha kwetu.
Inakuwaje Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, awapendelee wengine kwa kujithibitisha kwao, halafu wengine atutuoe, asijithibitishe kwetu?
Tukikosa kumjua na kufariki na dhambi (kwa sababu hajajithibitisha kwetu), suku ya hukumu akituuliza kwa nini nyinyi mlinikana nanhamkunioenda, tykasema Mungu wewe mwenye uwezo wote, unayepanga yote, hukutuoa neema ya kujithibitisha kwetu, atasemaje?
Hivi mzazi anaweza kumnyima mtoto nafasi ya kujifunza kusoma, halafu mtoto akishindwa kujua kusoma, mzazi awe na haki ya kumuadhibu mtoto kwa sababu mtoto hajui kusima?
Kama Mungu hayupo hata hiyo siku ya mwisho ni hadithi tu.Kumbuka SKU ya mwsho ni hukumu tu na sio hearing of cases .hakuna pa kukata rufaa wala kuomba kurejewa kwa hukumu upya( review of cases) sasa hayo maswali ya kumuulza Mungu cku ya mwsho sio ajabu ukakosa iyo nafas