wewe ulipaswa kujibu hoja nasio kuruka ruka maswali ''' binafsi na amini uwepo wa mungu lakini haimaanishi kuwa sipaswi kuwa sikiliza wenye hoja zakutoamini uwepo wake ..kuna wakati huwa wanakuja nahoja nzuri tu fikirishi hoja ambazo watu tunaoamini uwepo wa mugu tunashindwa kuzijibu ...yatupasa tuwe tunajifnza kutafuta maarifa mapya pia tofauti na Yale ambayo tumekuwa tunafundishwa na wazazi wetu ama walimu wetu pasipo kukubali kwa utashi wetu ..yaani tume shinikizwa kujifnzaMungu akusaidie,akufungue ufahamu na kukupa maarifa ya kwamba kuamini yeye yupo sio imani potofu kamwe.Mi naishi katika uwepo wake ndo maana najua.Wewe huwezi kujua hadi uwe na utayari.
Sawawewe ulipaswa kujibu hoja nasio kuruka ruka maswali ''' binafsi na amini uwepo wa mungu lakini haimaanishi kuwa sipaswi kuwa sikiliza wenye hoja zakutoamini uwepo wake ..kuna wakati huwa wanakuja nahoja nzuri tu fikirishi hoja ambazo watu tunaoamini uwepo wa mugu tunashindwa kuzijibu ...yatupasa tuwe tunajifnza kutafuta maarifa mapya pia tofauti na Yale ambayo tumekuwa tunafundishwa na wazazi wetu ama walimu wetu pasipo kukubali kwa utashi wetu ..yaani tume shinikizwa kujifnza
Mi sijakuelewa kbsaaaaUnaweza kutaja kitu kimoja ambacho kitabadilika kwangu?
Dunia ambayo ina mungu wenu huyo ina contradiction. Hiyo ndiyo isiyoeleweka. Kama mungu yupo na amethibitishwa, hizi contradictions mtazielezeaje?
Hao unaosema "watu wenye kuamini mungu" hivyo vitu ulivyovitaja kwamba vimeumbwa na mungu kama binadamu na kifo, ukifuatilia sana utakuta kwamba wanafikiri hivyo kwa sababu ya kukosa uchuinguzi tu.
Mwili wa binadamu una inefficiencies, una produce waste, unaumwa magonjwa etc. Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote hawezi kuwa kaumba mwili wenye mapungufu kama huu.
Dunia ambayo haina mungu haina mzigo wa kuelezea imperfections, na hivyo haitatizi kuielezea.Kama kuna kitu imperfect, hilo halishangazi, kwani haijaumbwa na a perfect god.
Kinachotatiza Zaidi ni uwepo wa mungu, si kutokuwepo kwa mungu.
Bible is contradicted ndio maana wazungu wamesha ikimbia siku nyingi. Wamewaachia nyie inabidi uwaelimisha na wengine manake ww umesha anza kui question. Na hapo ndio utapata ukweli kamiliNikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya.
Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale Nikilinganisha Na Agano jipya naona Tofauti Kubwa Sana
Mfano AGANO LA KALE
Mungu Alikuwa ni Wa Hasira Sana na Anayependa Sana Waumini wake Wafuate Sheria ... Kulikuwa na Sheria Za Kitakatifu Mfano Kujiosha Mwili... mavazi.. Kuhudumia Sehemu ya Kuabudia kwa usafi wa hali ya juu... kuvukisha Ubani... kujitawaza... n.k n.k
Sasa Nitapokuja Kusoma Agano jipya Mungu anakuwa Amebadilika Sana Hasa Katika Kuabudiwa.. .. Yale Mambo ya kale aliyotaka hayapo tena.. Je Mungu amebadilika Hataki Tena Ubani... Zawadi za kuteketezwa Alizosema zinamvutia?
Je Kuna Ubaya Gani Kutoa Sadaka Za hivyo.. kuna Ubaya Gani Kurudia Kule kwa Kale.. Kujisafisha Uendapo Kuabudu..... Kuwa Msafi Au kujitawaza kama kale...
Ambacho hujaelewa ni kipi?Mi sijakuelewa kbsaaaa
MaelezoAmbacho hujaelewa ni kipi?
Of course maelezo, kitu gani katika maelezo hujaelewa?Maelezo
hahaa kumbe upo online ..kwakweli mimi ni muislam lakini ukifuatilia deep kuhusu haya maswala ya dini yanatia kichefu chefu aiseee ..Mara cjui malaika ana mabawa " Mara cjui tukifa tutakwenda mbinguni ..ilahli mbingu mpka leo haijulikani ilipoOf course maelezo, kitu gani katika maelezo hujaelewa?
Au huelewi hata ambapo hujaelewa ni wapi?
Hatari yake nnNi hatari kweli kweli kwa wasioamini ya kuwa Mungu yupo.
Hivyo ulivyovitaja unaviona kwa macho!!Mungu yupo ; Vithibitisho, ni Uumbaji wake, Matendo yake, Wateule wake, Ukuu wake, Sheria zake, Elimu yake, Siri zake, Upendo wake, Rehema zake, Nguvu zake, n.k
Welcome back Kiranga tuliku miss sana mkuu! Karibu mkuu bill ntalipa mimi!Of course maelezo, kitu gani katika maelezo hujaelewa?
Au huelewi hata ambapo hujaelewa ni wapi?
Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.
Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
Kwahiyo umeona hiyo ni hoja?Karanga au Kiranga?
Sijaona kitu mkuu, sijaona hoja wala kirojaKwahiyo umeona hiyo ni hoja?