Unajuaje kwamba hiyo si inarticulate observation tu?Hujawahi kuona mtu anakwambia unaweza ukawa sawa kwa namna moja, na usiwe sawa kwa namna nyingine...?!
lakini huyo mtu kuwa sawa au asiwe sawa bado yupo...
Unapinga mwanzako hajaja na hoja halafu wewe unasema afadhali angebishana na waislamu ?? Hao waislamu hawaamini kama Mungu yupo ?Ndio hoja uliyoitoa ?? Tulia tu kama mimi ufuatilie tu vinginevyo unajiabisha ,Kudos!
Maswali ya msingi sana haya kwa hoja yake dhaifu..
Ukute huyu jamaa ni mchungaji na ana ufuasi mkubwa nyuma yake..
Ngoja aje kuleta siasa za dini badala ya majibu. Utachoka!
Afadhali ungebishana na waislamu kuliko hawa wazee wa kubadili maandiko kuridhisha nafsi zao..
Wanamfanya Mungu wao aonekane kigeugeu!
Ni kweli Freemason wapo karibu na tunaoamini Mungu...Acha hizo basi.. Cha kuokoteza hapo ni kipi sasa? Kwamba unakubalina na Kiranga kuwa hao jamaa mko nao karibu kuliko wao au?
Ni kweli Freemason wapo karibu na tunaoamini Mungu...
Ambao hawaamini Mungu hawana nafasi ya kuingia Freemason, sasa unataka nibishe tu hata ukweli...?!
Unapinga mwanzako hajaja na hoja halafu wewe unasema afadhali angebishana na waislamu ?? Hao waislamu hawaamini kama Mungu yupo ?Ndio hoja uliyoitoa ?? Tulia tu kama mimi ufuatilie tu vinginevyo unajiabisha ,
Unaonekana hujaisoma Quran, hata kidogo tu.Dah, mchumba wacha uongo basi..
Hebu thibitisha hiyo Quran ni sura gani imeandika hayo. Kisha nifafanulie hiyo ya bluu hapo sijakuelewa freshi..
Wait, unasema Mungu kazuia watu wasimjue halafu wote atawaunguza? Sasa uwepo wa Quran na mafundisho ya manabii ni ya kazi gani kama Mungu kazuia watu wasimjue?
Unataja taja neno Logic halafu kumbe nawe si mtumiaji mzuri wa hiyo Logic yenyewe..
Unaijua katiba ya FreemasonlySi ndio washirika wenu? Sishangai.. Hapa unazuga tu..
Wanachoamini Freemasons ni Mungu yupi? Maana hoja si Mungu tu, kuna wengine kwao Jiwe ni Mungu..
Huyo hajaelewa kwamba hoja yangu imejumuisha kupinga mungu wa Waislamu na Wakristo.Unapinga mwanzako hajaja na hoja halafu wewe unasema afadhali angebishana na waislamu ?? Hao waislamu hawaamini kama Mungu yupo ?Ndio hoja uliyoitoa ?? Tulia tu kama mimi ufuatilie tu vinginevyo unajiabisha ,
Issue ni kwamba ni nani anaweza akaingia Freemason, Muislamu mkristo wote wanaweza wakaingia huko lakini sio mtu ambaye anaamini hakuna Mungu, na kwa kuongezea na wanawake hawaruhusiwi kujiunga na Freemason...Si ndio washirika wenu? Sishangai.. Hapa unazuga tu..
Wanachoamini Freemasons ni Mungu yupi? Maana hoja si Mungu tu, kuna wengine kwao Jiwe ni Mungu..
Unaonekana hujaisoma Quran, hata kidogo tu.
Ina maana hujui kwamba Quran imeandika kwamba mungu kaifanya mioyo ya watu wengine migumu usimjue, na hawa hata wakijitahidi vipi hawataweza kumjua?
Uzuri mmoja wala sihitaji uislamu au ukristo kujua Mungu yupo ,abishane na waislamu kwa sababu ipi ? Mtu amesha sema hana imani kama Mungu yupo kwa hiyo akibishana na waislamu maana yake nini ?? Kwa imani ya dini zote Mungu yupo juu ya vyote ,wala hukutakiwa kuleta uislamu ,kwani kinacho jadalilwa hapa sio ukiristo wala uislamuNaona mzee umeshindwa kuvumilia.. Nimesema kama wanabishana bora angebishana na waislam angalau wangevutana kwa hoja. Sasa ulitaka abishane na asiyeamini uwepo wa Mungu kama yeye, watabishiana nini?
Au kwa kuwa we ni mkristo imekuchoma?
Kaa kimya mchumba!
Hapa yeye anaongelea uislamu na ukiristo wakati nyinyi hamwamini Mungu yupo ,hao wakiristo na waislamu wanaabudu nini kama sio Mungu ??Huyo hajaelewa kwamba hoja yangu imejumuisha kupinga mungu wa Waislamu na Wakristo.
Hajaweza kusoma na kuelewa hilo.
Issue ni kwamba ni nani anaweza akaingia Freemason, Muislamu mkristo wote wanaweza wakaingia huko lakini sio mtu ambaye anaamini hakuna Mungu, na kwa kuongezea na wanawake hawaruhusiwi kujiunga na Freemason...
Sasa unataka niwe nabisha na fact... issue sio kuonyeshana ni nani bingwa wa kubisha...
Tulia basi, mbona unahamanika.Sasa mzee mbona una porojo nyingi, si unatumia intaneti? Lete hilo andiko tulione..
Hao 'waliowekewa mioyo migumu' ni wakina nani na kwanini?
Wewe kama huna uthibitisho wa unachokiamini kaa kimya.Kama kitu na kiishi nawezaje kukuthibitishia wewe...?! Vitu vya hisia nawezaje kukuthibitishia...?!
Kwa mfano nikihisi kitu fulani nawezaje kukuthibitishia huko ulipo madongo kuinama tena kwa kutumia keyboard...?!
Tulia basi, mbona unahamanika.
Kwanza download Quran in PDF format kutoka hapa http://www.qurandownload.com/english-quran(yusuf-ali)-wb.pdf
Soma
SURA 2. Baqara, or the Heifer
6. As to those who reject Faith, it is the same to them whether thou warn them
or do not warn them; they will not believe.
7. Allah hath set a seal on their hearts and on their hearing, and on their eyes
is a veil; great is the penalty they [incur].
Soma vizuri.Umeelewa.
Allah kawaziba macho, masikio na mioyo ili wasimjue. Halafu atawapa adhabu kali kwa kutomjua.
Huyu Allah yupo kweli au ni stories tu?
Ewalaaa! Kumbe una akili timamu, basi tu umeamua kujichetua..!
Hao watu waliosemwa kwenye huo MSTARI wa 7 ndio kama wewe sasa..
Hata wahubiriwe vipi, waonywe vipi, wameamua tu kutokuamini...
Na Mungu ataziba mioyo yao (muhuri)...
Ni kama kusema wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wana akili lakini hawatafakari..
Kimsingi hoja ipo kwenye Mstari wa 6 hapo, bahati nzuri umeuleta pia..
6. As to those who reject Faith, it is the same to them whether thou warn them or do not warn them; they will not believe.
Ubarikiwe!
Ayubu 22:21 >> Mjue Sana Mungu, Uwe na Amani Ndivyo Mema Yatakavyokujia.Imekuwaje mungu amnyime mtu kumjua yeye mungu wake, halafu amhukumu kwa kutomjua mungu?
Ayubu 22:21 >> Mjue Sana Mungu, Uwe na Amani Ndivyo Mema Yatakavyokujia.
Hilo ni Neno La Mungu Wetu. Sasa Kama mungu wenu Hataki Ninyi Mumjue Basi Ndiye Yule Ambaye wakina Paulo walikuta watu wanamwabudu kule Athene jina lake Anaitwa mungu asiye julikana.(Matendo ya Mitume 17:19-34)
Ndiyo Maana BWANA YESU alisema ili wakujue Mungu wa Kweni na Wapekee na Yesu Uliye Mtuma. (Yoh 17:3)
Kwa Maneno Haya ya Yesu ni Wazi Kwamba wapo miungu ya uongo Ndani ya Yesu Ndiyo Kuna Mungu wa Kweli, nje ya Yesu kuna mungu Asiyejulikana.
Sasa kama Hujampa Yesu Maisha Yako, ujue Jehanamu inakungoja Utachomwa Pamoja na shetani unayemtumikia bila wewe kujijua Mwanangu kiranga.