Hata unayosoma wewe na kukufanya useme hakuna mungu ni mawazo ya watu pia.Hivyo hauna tofauti na hao ambao unaona wanafuata hadithi tu,kuwa huru kwanza kwa kutofuata mawazo ya watu ili upate haki ya kusema wenzio kuwa wanafuata hadithi tu.Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.
Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
Tofauti ipo.Hata unayosoma wewe na kukufanya useme hakuna mungu ni mawazo ya watu pia.Hivyo hauna tofauti na hao ambao unaona wanafuata hadithi tu,kuwa huru kwanza kwa kutofuata mawazo ya watu ili upate haki ya kusema wenzio kuwa wanafuata hadithi tu.
Umeshindwa kunielewa kwa sababu hauna uhuru wa mawazo katika hili suala kama mnavyojisifu,wewe unawaambia wenzako wanasoma hadithi zilizotungwa na watu tu na ndiyo nami nikakwambia kuwa hata unayosoma wewe pia kuhusu kutokuwepo kwa mungu ni hadithi za watu tu wenye kutaka watu waelewe hivyo. Mungekuwa na mawazo huru msingekuwa mnakuja na hoja za "sitaki kuamini nataka kujua" mara "mbona huyo mungu haonekani?".Tofauti ipo.
Hakuna mjadala kwamba watu wapi. Au unabisha?
Kuna mjadala kama mungu yupo.
Ukisema maneno hata yaameandikwa na watu, hilo halihitaji kuthibitisha, hatuhitaji kuthibitisha kwamba watu wapo.
Tunahitaji kuthibitisha mungu yupo maana haonekani, haeleweki, wazo la kuwepo kwake linajipinga lenyewe.
Utasemaje mawili haya ni sawa?
Mungu, mungu. Zote hadithi tu. Kiuhalisi hayupo.Sio mungu ni Mungu
Sorry Kiranga kuingilia imani yako ila mimi naamini kuwa kuna Mungu.Bahati nzuri hakuna aliyelazimishwa kuamini kama yupo au hayupo.Mungu, mungu. Zote hadithi tu. Kiuhalisi hayupo.
Hakuna mjadala kwamba watu wapo.Umeshindwa kunielewa kwa sababu hauna uhuru wa mawazo katika hili suala kama mnavyojisifu,wewe unawaambia wenzako wanasoma hadithi zilizotungwa na watu tu na ndiyo nami nikakwambia kuwa hata unayosoma wewe pia kuhusu kutokuwepo kwa mungu ni hadithi za watu tu wenye kutaka watu waelewe hivyo. Mungekuwa na mawazo huru msingekuwa mnakuja na hoja za "sitaki kuamini nataka kujua" mara "mbona huyo mungu haonekani?".
Utajuaje unachofikiri umeona kabla hakijaonekana kipo na si ndoto tu?Ukiielewa hii process (below) itakusaidia sana
From #Unseen > #Seen >#Unseen > Seen
Kumbuka #Imani ni kuona visivyoonekana kabla havijaonekana.
Unajuaje kwamba mungu yupo na hii si imani potofu tu?Sorry Kiranga kuingilia imani yako ila mimi naamini kuwa kuna Mungu.Bahati nzuri hakuna aliyelazimishwa kuamini kama yupo au hayupo.
Kukusaidia tuu nitakuombea kwa huyo Mungu usiyeamini kuwa yupo ili akuonyeshe kuwa yupo.Atakuonyesha na utaleta thread hapa Jf.
Mungu akusaidie,akufungue ufahamu na kukupa maarifa ya kwamba kuamini yeye yupo sio imani potofu kamwe.Mi naishi katika uwepo wake ndo maana najua.Wewe huwezi kujua hadi uwe na utayari.Unajuaje kwamba mungu yupo na hii si imani potofu tu?
Sijaomba maombi, nimeuliza swali.Mungu akusaidie,akufungue ufahamu na kukupa maarifa ya kwamba kuamini yeye yupo sio imani potofu kamwe.Mi naishi katika uwepo wake ndo maana najua.Wewe huwezi kujua hadi uwe na utayari.
Kuamini uwepo wa mungu ni utumwa wa mawazo na fikra ikiwa ni pamoja na uvivu wa kuuhangaisha ubongo. Kuna maswali mengi juu ya uwepo wa mungu kiasi kwamba vitabu vya dini havina majibu yake mpaka wanafikiria kuviandika upya. Fungukeni nyie bibadamu hakuna mdudu yeyote anayeitwa munguNikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya.
Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale Nikilinganisha Na Agano jipya naona Tofauti Kubwa Sana
Mfano AGANO LA KALE
Mungu Alikuwa ni Wa Hasira Sana na Anayependa Sana Waumini wake Wafuate Sheria ... Kulikuwa na Sheria Za Kitakatifu Mfano Kujiosha Mwili... mavazi.. Kuhudumia Sehemu ya Kuabudia kwa usafi wa hali ya juu... kuvukisha Ubani... kujitawaza... n.k n.k
Sasa Nitapokuja Kusoma Agano jipya Mungu anakuwa Amebadilika Sana Hasa Katika Kuabudiwa.. .. Yale Mambo ya kale aliyotaka hayapo tena.. Je Mungu amebadilika Hataki Tena Ubani... Zawadi za kuteketezwa Alizosema zinamvutia?
Je Kuna Ubaya Gani Kutoa Sadaka Za hivyo.. kuna Ubaya Gani Kurudia Kule kwa Kale.. Kujisafisha Uendapo Kuabudu..... Kuwa Msafi Au kujitawaza kama kale...
Imani ni zawadi kutoka kwa Mungu kupitia mwanae wa pekee Yesu Kristo.Utajuaje unachofikiri umeona kabla hakijaonekana kipo na si ndoto tu?
Kabla ya kwenda mbali, thibitisha kwamba mungu yupo.Imani ni zawadi kutoka kwa Mungu kupitia mwanae wa pekee Yesu Kristo.
Imani ni ile Elimu yenye mapokeo sahihi na fikira sahihi zenye Maono bora na malengo Bora kwa ajili Utukufu wa Mungu. Elimu hii humfanya mtu kuwa na uhakika na anachofanya au amini. ( stable, reliable , Trustworthy)
Elimu hii inajengwa na vitu vikuu vitatu, yaani 1. Ujuzi (Knowledge) 2. Hekima 3. Uelewa. Kikubwa Kati ya vyote hivyo ni Uelewa.
Elimu hii pia hufundishwa kupitia vitu vikuu vitatu 1. Matendo 2. Kusikia 3. Kuona ; Kikubwa kuliko vyote ni kusikia