Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku,ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi.
Ndugu zangu sote tume umbwa na mwenyezi MUNGU lakini ktk uwepo wake kwa binadamu ,kwa upendo wakutufanya sisi tuishi bila hofu wala kununua pumzi hii tunayo lingua.
Ningepnda kufahamu je ,Mungu wetu mpendwa ana dini?Kama ana dini ni ipi Kati hizi nine.
1.Christianity
2.Muslim
3.Pagan
4.BUDDHAN RELIGION
Hivi hapa JF hakuna JUKWAA LA DINI?Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku,ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi.
Ndugu zangu sote tume umbwa na mwenyezi MUNGU lakini ktk uwepo wake kwa binadamu ,kwa upendo wakutufanya sisi tuishi bila hofu wala kununua pumzi hii tunayo lingua.
Ningepnda kufahamu je ,Mungu wetu mpendwa ana dini?Kama ana dini ni ipi Kati hizi nine.
1.Christianity
2.Muslim
3.Pagan
4.BUDDHAN RELIGION
Check huyu Naye...... Sasa Ulidhani Quran itasema Hakika Mungu ni Mkristo. Lazima Ijibebe Yenyewengoja nikwambie ..mung anayo din na yy ndio alieileta hii dini..na maana ya neno din ni mfumo wa maisha kwa kila mwanaadam alioletewa na mung ..kwaiyo din ya mungu ni uislam,..ndo din yke na na alioileta hpa.dunian pasina nyingne. sura ya 3:19
Umenifuraisha sana mkuuCheck huyu Naye...... Sasa Ulidhani Quran itasema Hakika Mungu ni Mkristo. Lazima Ijibebe Yenyewe
Wewe NI mwanaharakat wa dini yaKina alshababMwenye dini ni yule wa waislam. Miungu wengine wao ndo wanaoabudiwa kwa hiyo hawahitaji wawe na dini
mh uislam mbona aufanani hata kidogo kwanza wengi n makatili,wanalipiza visasingoja nikwambie ..mung anayo din na yy ndio alieileta hii dini..na maana ya neno din ni mfumo wa maisha kwa kila mwanaadam alioletewa na mung ..kwaiyo din ya mungu ni uislam,..ndo din yke na na alioileta hpa.dunian pasina nyingne. sura ya 3:19