KAZIMOTO
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 1,073
- 325
Mji mpya wa wakazi wa Kigamboni ndio GESI yao hivyo wanatakiwa kuwa wa kwanza kunufaika na mradi huo kupitia Manispaa ya Temeke.
Kuwapa Wakala (KIGAMBONI DEVELOPMENT AGENCY- KDA) nguvu kubwa kwenye mradi huo BADALA ya Manispaa ya Temeke ni sawa na kujenga kiwanda cha kusafisha GESI Kinyerezi - Dar esalaam badala ya Mtwara.
Temeke ni Wilaya iliyo nyuma kuliko zote Dar es salaam imesahaulika kama watu wa mtwara. Ni wakati wao kupata faida kupitia mradi wa Kigamboni.
Dar es salaam inataka kufaidika kwanza na GESI ya Mtwara kabla ya WanaMtwara. Ndivyo hivyo Wizara ya Ardhi inataka kufaidika kwanza na mradi wa Kigamboni kabla ya wanakigamboni kupitia Manispaa yao ya Temeke (madiwani wao na mbunge wao).
Je, danadana za TIbaijuka kuhusu Kigamboni hazifanani na danadana za Muhongo kuhusu Gesi ya Mtwara???
Je, Mradi wa Kigamboni ni GESI nyingine??? Tutegemee nini?
KIGAMBONI KWANZA UHAI BAADAYE????