Je, mmoja wapo kuwa Rais?

Je, mmoja wapo kuwa Rais?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Balozi Dr Mahiga alikuwa Balozi wa kudumu Umoja wa Mataifa na alikuwa kwenye Kamisheni ya kuleta Amani Somalia anatangaza Nia leo.

Agustino Ramadhani ni Jaji Mkuu mstaafu bado hajatangaza nia na kuna tetesi kuwa yuko mbioni kutangaza Nia.

Inawezekana hawa ndio chaguo la JK kutokana na kauli zake za nyuma za Rais ajaye.

Vilevile endapo mmoja wao atafanikiwa kushika nchi ataongoza kwa kipindi cha miaka mitano tu.

Kumbuka hawa wote ni Usalama wa Taifa.
 
Kati ya hao hakuna rais hapo, kauli za JK alisema hazina mashiko kwa sasa
 
Balozi Dr Mahiga alikuwa Balozi wa kudumu Umoja wa Mataifa na alikuwa kwenye Kamisheni ya kuleta Amani Somalia anatangaza Nia leo.

Agustino Ramadhani ni Jaji Mkuu mstaafu bado hajatangaza nia na kuna tetesi kuwa yuko mbioni kutangaza Nia.

Inawezekana hawa ndio chaguo la JK kutokana na kauli zake za nyuma za Rais ajaye.

Vilevile endapo mmoja wao atafanikiwa kushika nchi ataongoza kwa kipindi cha miaka mitano tu.

Kumbuka hawa wote ni Usalama wa Taifa.
Kwa nini waongoze kiaka mitano tu? Katiba imebadilishwa?
 
Balozi Dr Mahiga alikuwa Balozi wa kudumu Umoja wa Mataifa na alikuwa kwenye Kamisheni ya kuleta Amani Somalia anatangaza Nia leo.

Agustino Ramadhani ni Jaji Mkuu mstaafu bado hajatangaza nia na kuna tetesi kuwa yuko mbioni kutangaza Nia.

Inawezekana hawa ndio chaguo la JK kutokana na kauli zake za nyuma za Rais ajaye.

Vilevile endapo mmoja wao atafanikiwa kushika nchi ataongoza kwa kipindi cha miaka mitano tu.

Kumbuka hawa wote ni Usalama wa Taifa.
kwa madudu ya JK aliyotufanyia kwa miaka yake kumi,je bado ana haki ya kuwachagulia watanzania kiongozi wao?sisi watanzania wa sasa tunahitaji rais wa watanzania na sio rais wa ccm full stop
 
Back
Top Bottom