Mtagwa lindi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 311 Reaction score 96 Feb 11, 2021 #1 Naomba kujua huu mmea ni dawa kweli na unatumikaje kuja wengine wanadai inatibu hadi Corona 1.
Goodluck JJJ New Member Joined Nov 23, 2020 Posts 2 Reaction score 3 Feb 11, 2021 #2 Mtagwa lindi said: Naomba kujua huu mmea ni dawa kweli na unatumikaje kuja wengine wanadai inatibu hadi Corona 1View attachment 1699831 Click to expand... Huu ni mmea ambao mara nyingi watu kutumia kujifukiza/kupiga nyungu. Sio kwamba inatibu korona ila kwa sasa kwa kuwa tunaamini kila dawa ya kujifukiza inaondoa/kutibu korona ndio maana watu wameuchulia hivyo.
Mtagwa lindi said: Naomba kujua huu mmea ni dawa kweli na unatumikaje kuja wengine wanadai inatibu hadi Corona 1View attachment 1699831 Click to expand... Huu ni mmea ambao mara nyingi watu kutumia kujifukiza/kupiga nyungu. Sio kwamba inatibu korona ila kwa sasa kwa kuwa tunaamini kila dawa ya kujifukiza inaondoa/kutibu korona ndio maana watu wameuchulia hivyo.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,742 Feb 11, 2021 #3 Mtagwa lindi said: Naomba kujua huu mmea ni dawa kweli na unatumikaje kuja wengine wanadai inatibu hadi Corona 1View attachment 1699831 Click to expand... Mkuu Hauja utaja jina lake huo mmea umeonyesha picha tu tutajuaje kwa jina huo mmea?
Mtagwa lindi said: Naomba kujua huu mmea ni dawa kweli na unatumikaje kuja wengine wanadai inatibu hadi Corona 1View attachment 1699831 Click to expand... Mkuu Hauja utaja jina lake huo mmea umeonyesha picha tu tutajuaje kwa jina huo mmea?
Malaika Gabrieli JF-Expert Member Joined May 28, 2020 Posts 3,297 Reaction score 6,132 Feb 11, 2021 #4 hehehehhh
W wakaliwetu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2020 Posts 671 Reaction score 1,143 Feb 12, 2021 #5 Kichaga tunauita mwombo
Mtagwa lindi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 311 Reaction score 96 Mar 2, 2021 Thread starter #6 MziziMkavu said: Mkuu Hauja utaja jina lake huo mmea umeonyesha picha tu tutajuaje kwa jina huo mmea? Click to expand... sifahamu jina lake mkuu
MziziMkavu said: Mkuu Hauja utaja jina lake huo mmea umeonyesha picha tu tutajuaje kwa jina huo mmea? Click to expand... sifahamu jina lake mkuu
Mtagwa lindi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 311 Reaction score 96 Mar 2, 2021 Thread starter #7 wakaliwetu said: Kichaga tunauita mwombo Click to expand... mnautumiaje
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,684 Mar 2, 2021 #8 Kivumbasi kiswahili chake
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,060 Reaction score 18,030 Mar 2, 2021 #9 wakaliwetu said: Kichaga tunauita mwombo Click to expand... Usideme Kichaga,sema kwa lugha gani ya kichagga? Kama mrombo anaita hivyo basi mmachame anaita ikingili,mkibosho anaita kwa jina tofauti,kichaga cha kwetu unaitwa shingili.
wakaliwetu said: Kichaga tunauita mwombo Click to expand... Usideme Kichaga,sema kwa lugha gani ya kichagga? Kama mrombo anaita hivyo basi mmachame anaita ikingili,mkibosho anaita kwa jina tofauti,kichaga cha kwetu unaitwa shingili.