Ustaarabu umekosekana hapo.Habari za muda huu wana JF??
Nimekutana na video moja mitandaoni iliyorekodiwa na muumini wa dini ya Kiislam akilalamikia Kanisa lililopo karibu na Msikiti alipokua anakwenda kufanya ibada na kukuta Redio ikiwa inaimba kwaya Kanisani hapo pasipo kuwa na mtu ndani.
Muumini huyo amelalamikia na kuziomba mamlaka kuingilia kati swala hilo kutokana na kile alichokua anakilalamikia.
Mimi sio muumini wa Imani hizo mbili tofuauti(Ukristo na Uslam)
Baada ya kufuatilia comments kwenye post hizi nimeona waumini wa Imani hizo tofauti kila mmoja akitetea upande wake.
Kwa upande wangu na kuheshimu Imani hizo nimeona wote kwa wakati huo walikua na makosa
1. Kanisa limefungulia kwaya kwa sauti kubwa inayoweza kuwafikia na kuwakwaza hata waumini wasiokua waumini wa Imani hiyo au waliopumzika jirani na maeneo hayo,
2. Msikiti umefungwa speakers nje na inasikika adhana kwa sauti kubwa kitu ambacho pia kinaweza kuwa kero kwa wasiokua waumini wa Imani hiyo.
Kama ni eneo la makazi. Msikiti na kanisa havipaswi kuwepo hapo.Habari za muda huu wana JF??
Nimekutana na video moja mitandaoni iliyorekodiwa na muumini wa dini ya Kiislam akilalamikia Kanisa lililopo karibu na Msikiti alipokua anakwenda kufanya ibada na kukuta Redio ikiwa inaimba kwaya Kanisani hapo pasipo kuwa na mtu ndani.
Muumini huyo amelalamikia na kuziomba mamlaka kuingilia kati swala hilo kutokana na kile alichokua anakilalamikia.
Mimi sio muumini wa Imani hizo mbili tofuauti(Ukristo na Uslam)
Baada ya kufuatilia comments kwenye post hizi nimeona waumini wa Imani hizo tofauti kila mmoja akitetea upande wake.
Kwa upande wangu na kuheshimu Imani hizo nimeona wote kwa wakati huo walikua na makosa
1. Kanisa limefungulia kwaya kwa sauti kubwa inayoweza kuwafikia na kuwakwaza hata waumini wasiokua waumini wa Imani hiyo au waliopumzika jirani na maeneo hayo,
2. Msikiti umefungwa speakers nje na inasikika adhana kwa sauti kubwa kitu ambacho pia kinaweza kuwa kero kwa wasiokua waumini wa Imani hiyo.
Naona umeamka na k-vant kichwaniVyote vivunjwe, waumini wa pande mbili zote wanyongwe.
Eeeeeh!Vyote vivunjwe, waumini wa pande mbili zote wanyongwe.
Suluhisho ya kishujaa hii. Kunogesha zaidi, wajenge bonge moja la bar na ukumbi wa disco kwenye hivyo viwanja.Vyote vivunjwe, waumini wa pande mbili zote wanyongwe.
Ewaaah!!! Thread ifungwe wachangiaji tukalaleSuluhisho ya kishujaa hii. Kunogesha zaidi, wajenge bonge moja la bar na ukumbi wa disco kwenye hivyo viwanja.
Hapo utaona mashehe na mapadri wote wakijumuika kusaga rhumba.