Mimi naona wattu tunaolijua hasa hili la escrow ni vijana make mda wote tunakuwa bega kwa bega na mitandao ya kijamii na undo wapiga kura tulio wing sasa bas nataka kuwaomba vijana wenzang tujitahid jupata ile ID ya au kitambulisho cha mpiga kura kwani wing wao hawana ID ya kura na pia kuhusu kijjn kujua sakata la escrow naweza sema bado vijana watakuwa wanahusika kujua zaid kuliko wtu wazma, naamin vijana tukiahilikiana tunaweza kuibadisha tzania name viongoz wake make ukiangalia saiv kuna makund to faut tofaut huko vijijn na mijin, unakuta vijana wako chama Fulani na wazee nao chao wanawake nao sehem yao,na ni kwanni?Hawaii jamaa wanashinda mda wote kwa sabab watu wazma walioweng wanna hiz kadi na vjana weng hawana kadi, vjana tuko weng sana tubadilike na tuwe wajanja tusilale,AMKENI BWANA2015