Je, Mjamzito kupata hedhi kuna tatizo?

Baba Matatizo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2011
Posts
334
Reaction score
64

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA​
Habar madaktar?Nauliza hivi,Mwanamke mwenye MIMBA anaweza kuendelea kupata hedhi kama kawaida?Kama inawezekana tatizo nini?Naombeni MSAADA
NAWASILISHA
---
Je, kama mimba imetunga karbu na siku za hedhi mwanamke anaweza pata hedhi? Na je mwanamke siku yake ya hatar n hip kama siku zake ni wastani wa 28-30

Sent using Jamii Forums mobile app
---
Wakuu ma Dr hebu nisaidieni hii kitu inawezekana kweli duniani, kwamba ana mimba halafu bado anapata siku zake yaani hedhi. kwa sayansi niliyosoma form three naona inakataa. nijuzeni tafadhali.
---
Ndugu watabibu na wadau wote naomba msaada mama watoto Wangu amepatwa na tatizo la kwenda kwenye Siku zake na wakati ana mimba kama ya mwezi mmoja, ni tatizo geni kwake kwani haijawahi kumtokea!
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI​

Bleeding during pregnancy is relatively common and doesn't always mean there's a problem – but it can be a dangerous sign

Causes of bleeding in early pregnancy
Implantation bleeding

In early pregnancy, you might get some harmless light bleeding, called "spotting". This is when the developing embryo plants itself in the wall of your womb. This type of bleeding often happens around the time your period would have been due.

Cervical changes
Pregnancy can cause changes to the cervix, and this may sometimes cause bleeding – after sex, for example.

Miscarriage or ectopic pregnancy
During the first 12 weeks of pregnancy, vaginal bleeding can be a sign of miscarriage or ectopic pregnancy.

However, many women who bleed at this stage of pregnancy go on to have normal and successful pregnancies.

Miscarriage
If a pregnancy ends before the 24th week, it's called a miscarriage. Around 1 in 5 pregnancies ends this way.

Many early miscarriages (before 14 weeks) happen because there is something wrong with the baby. There can also be other causes of miscarriage, such as hormone or blood clotting problems.

Most miscarriages occur during the first 12 weeks (3 months) of pregnancy and, sadly, most cannot be prevented. Other symptoms of miscarriage include:

  • cramping and pain in your lower abdomen
  • a discharge or fluid from your vagina
  • a discharge of tissue from your vagina
  • no longer experiencing the symptoms of pregnancy, such as breast tenderness and feeling sick
If you have bleeding or any of the symptoms above, contact your midwife or GP straightaway.

Ectopic pregnancy
An ectopic pregnancy is when a fertilised egg implants outside the womb – for example, in the fallopian tube.

It can cause bleeding and is dangerous because the fertilised egg can't develop properly outside the womb. The egg has to be removed, which can be done through an operation or with medicines.

Symptoms of an ectopic pregnancy tend to develop between 4 and 12 weeks of pregnancy but can happen later.

Other signs of ectopic pregnancy can include:

  • tummy pain low down on one side
  • vaginal bleeding or a brown, watery discharge
  • pain in the tip of your shoulder
  • discomfort when peeing or pooing
However, these symptoms aren't necessarily a sign of a serious problem. They can sometimes be caused by other things, such as a stomach bug, but they need to be checked out by your midwife or doctor.

Causes of bleeding in later pregnancy
Cervical changes

These can lead to bleeding, particularly after sex.

Vaginal infections
Your midwife or doctor can discuss tests and treatment with you.

A 'show'
This is when the plug of mucus that has been in the cervix during pregnancy comes away, signalling that the cervix is getting ready for labour to start. It may happen a few days before contractions start or during labour itself.

Placental abruption
This is a serious condition in which the placenta starts to come away from the womb wall. Placental abruption usually causes stomach pain, and this may occur even if there is no bleeding.

Low-lying placenta (placenta praevia)
This is when the placenta is attached in the lower part of the womb, near to or covering the cervix. Bleeding from a low-lying placenta can be very heavy, and put you and your baby at risk.

Vasa praevia
This is a rare condition where the baby's blood vessels run through the membranes covering the cervix.

When your waters break, these vessels may be torn and cause vaginal bleeding. The baby can lose a life-threatening amount of blood.

Finding out the cause of bleeding in pregnancy
To work out what is causing the bleeding, you may need to have a vaginal or pelvic examination, an ultrasound scan or blood tests to check your hormone levels.

Your doctor will also ask you about other symptoms, such as cramp, pain and dizziness. Sometimes it might not be possible to find out what caused the bleeding.

If your symptoms are not severe and your baby is not due for a while, you'll be monitored and, in some cases, kept in hospital for observation.

How long you need to stay in hospital depends on the cause of the bleeding and how many weeks pregnant you are.

Being in hospital allows staff to keep an eye on you and your baby, so they can act quickly if there are further problems.


MREJESHO WA MDAU BAADA YA KWENDA KLINIKI KUPIMA​

BAADHI YA MAONI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU WA JF​
---
---
---
 
Wengine hupata hedhi, ila huwa inakuwa sio nyiingi kama ile uliyoizoea. Ngoja madaktari waje wafafanue zaidi..
 
Hatakiwi kupata hedhi akiwa mjamzito, mpeleke hospital maana hiyo ni dalili ya mimba kutaka kuharibika(threaten abortion).
 
Nimewah sikia mtu akipata hedh kwa % kubwa anakua na tatizo so inabid awah hospital,ila sometime inakua hali ya kawaida na tatizo linakuwa halipo,wahin hospito
 
Kutokwa na damu wakati wa ujauzitoinategemeana na umri wa mimba, yaweza kuw:
1. mimba kuharibika ( abortion )
2. antepartum hemorrhage
3. au siyo mimba kabisa (uvimbe )
jaribu kumwona daktari
 
nakushauri muone docta, ingawa hujasema ni damu ya aina gani? Na ni kiasi gani? unapokuwa mjamzito katika wiki za kwanza kuna baadhi ya wakina mama hupata vitone vya damu ambavyo sio light kama hedhi ilivyo na huwa haitoki kama hedhi, inaweza kuwa kama inaelekeae kwenye pink au rangi ya kahawa hivi, yaani damu iliyochanganyika na weusi, hii sio mbaya endapo itatoka kwa vitone.

Unashauriwa tu kupumzisha mwili mahali pamoja,usifanye kazi nzito but kama itakuwa nyingi kiasi cha kuvaa ped ni bora awahi hosp, ingawa kwa kiasi kikubwa ni hali ya kawaida indapo itakuwa inatoka spots of blood..but sometime huwa inaweza kuwa na sababu hizi..

Mimba kuharibika
mimba iliyopandikizwa
sex
kazi nzito
mshtuko
na mengine mengi...
but ukiona dalili hii imezidi nenda hosp,
 
Habar madaktar?Nauliza hivi,Mwanamke mwenye MIMBA anaweza kuendelea kupata hedhi kama kawaida?Kama inawezekana tatizo nini?Naombeni MSAADA
NAWASILISHA

1)Mwanamke mwenye ujauzito hawezi kupata hedhi. Ngoja turudi kwenye hilo tatizo, naomba majibu ya haya maswali
2) Damu imeanza toka wakati ujauzito una muda gani?
3) Ni kiasi gani cha damu kilitoka?
4) Kuna dalili nyingine yeyote iliyoambatana na damu kutoka au kabla ya damu kutoka? mfano tumbo kuuma nk
 
Wengine hupata hedhi, ila huwa inakuwa sio nyiingi kama ile uliyoizoea. Ngoja madaktari waje wafafanue zaidi..

Mwanamke mjamzito hawezi kupata hedhi yake kama hapo awali,kutokwa na damu wakati wa ujauzito iwe mwanzoni mwa ujauzito au mwishoni mwa ujauzito ni ishara kuwa ujauzito unamatatizo au hakuna ujauzito
 
Wakuu ma Dr hebu nisaidieni hii kitu inawezekana kweli duniani, kwamba ana mimba halafu bado anapata siku zake yaani hedhi. kwa sayansi niliyosoma form three naona inakataa. nijuzeni tafadhali.
 
Mkuu huwezi kupata hedhi wakati una mimba hii inaweza ikawa vaginal breeding na sio hedhi.., ila chonde chonde nakushauri kumuona daktari sababu kama kweli ni hedhi hii ni sign ya miscarriage au mimba kuharibika.., for more information angalia hapo chini nimetoa extract online

 
its not normal, ila huwa inatokea, na kama inatokea something is wrong somewhere either ni dalili za miscarriage au complications za mimba

kukusaidia ningependa kujua yafuatayo
je ni mimba ya miezi mingapi?
na je damu inatoka nzito mabonge au nyepesi?
na je damu ni nyingi?

kama damu ni nzito ya mabonge ni bora kuwahi hospitali maana hiyo ni dalili mbaya na hata kama ni nyepesi nashauri muende hospitali

kingine kikubwa zaidi bed rest ni muhimu kwa mwanamke mwenye dalili hizo
 

ni kodogo na kwa sasa ni miezi mitatu.
 
Mkuu ni kawaida ila wataalam wanasema sio nzuri sana hasa inapoendelea mwezi wa nne. Labda nikupe kichekesho mwanangu wa kwanza my sweet baby faith, atukujua mama yake ana mimba.

Alikuwa mpenzi mkubwa wa nyama za Afrikasana ..na chips kuku wa kienyeji an mengineyo....wiki mbili akawa anatema mate ovyo nikamwambia hee mbona hivi akasema ata mie nashangaa akasema siku fulan tym ya kubleed tukasubiri ikamwaga ila ikawa kaama tonge kadgo cha pilau kwenye msiba

baada ya hapo tukaenda afrikasana nikamwambia yawezekana minyoo nikapita palestina nikanunua zantel mwaya..tena mbli na yangu..akaenda kula alipomaliza akataka kunywa nkamwambiaa no roho inakataa ...kesho yake nikamwambia twende hospitala kwenda kupima mimba ..

Baada ya siku tatu tukaenda kwa specialist maana atukuelewa akatuelekeza akasema ana mimba ya miezi 3 ..mwaya na zantel tungekunywa ingekurupuka ilipokuwa sijui ningesemaje ..same to 2baby mpaka ana miezi miwili ana toa tonge ikanaishtua nikaend kupima ikaonekana tukaanza malezi y mimbasamaki kwa wingi na mengineeyo.

Amwone dk lakini akiona inanendelea.

Natangaza ulinzi wa yesu juu mtoto in jesus name
 
Hakuna sababu yoyote kwa nomal circumstances inayoweza kusababisha damu wakati wa ujauzitu. Lazima liwe tatizo. Japo laweza kuwa dogo kama mshtuko, msuguo, nk, au kubwa kama mimba kuharibika. Nashauri usichukulie uzoefu. Ukiona damu tu, kimbia hospitali iliufanyiwe uchunguzi hata kama ilishawahi kukutokea hapo awali.
 
HAIWEZEKANI kupata HEDHI wakati unamimba, ila inawezekana kutoka damu ukeni (vaginal bleeding) wakati unamimba kwasababu ya matatizo mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa mimba, rapture de membarana, etc, inabidi ukaonane na gynecologist haraka, it's possible huna mimba au kama unayo inaanza ku take a wrong line.
c u.
 
Ndugu watabibu na wadau wote naomba msaada mama watoto Wangu amepatwa na tatizo la kwenda kwenye Siku zake na wakati ana mimba kama ya mwezi mmoja, ni tatizo geni kwake kwani haijawahi kumtokea!
 
mwambie aende hospital haraka,hizo ni dalili za kuaribika kwa ujauzito,
 
wangwana hali vipi.natumai salama..nawaombeni mchango wenu katika suala ambalo kwa muda limenisumbua..mwanamke akitunga mimba kuna uwezekano akawa anazishuhudia siku zake za mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…