Waraka wa serikali juu ya kufutwa ada shule za sekondari na kufutwa michango shule za msingi na zile za awali wazua utata. Wananchi wametatizika.
Katika vikao vya kufunga shule kwa baadhi ya shule za sekondari mkoa wa pwani na dar es salaam; walimu wameambiwa kwamba kilichofutwa ni ada pekee kwa shule za sekondari michango ingalipo.
Fununu hizi zimezua sintofahamu kwa walimu, wanafunzi na wananchi. Inadaiwa kwamba waraka wa serikali haujaeleweka.
Tafadhali, fununu hizi zifanyiwe kazi mapema na kuwekwa sawa kabla ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani hawajaanza kupokea barua na maelekezo ya kujiunga na shule mwakani.