Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Salaam WanaJamvi.
Najaribu tu kuuliza kwa Watu wa Karibu na Mkulu Magufuli, Je atawarudisha Kazini kwa Kuwapangia kazi Nyingine hawa wote aliyowatumbua kwa Kile yeye alichoona kinafaa kuwatumbua? Nauliza hivi kwasababu Anne Kilango tayari kapangiwa kazi Nyingine kama alivyoahidi, sasa na hawa wengine bila shaka anatakiwa kufanya hivyo hivyo ili kutoonesha upendeleo wa wazi.
Kuna Habari Nyepesi zinasema Mzee Mkapa alivyoenda pale Magogoni, moja ya shughuli aliyoendea ni pamoja na Kumwambia aangalia jinsi ya kuweka mambo sawa ikiwa ni pamoja na swala la familia ya Mzee Samwel Malecela.
Swali ni Je, Rais atawapangia kazi nyingine watumbuliwa wake? Na Wananchi itabidi tumuelewaje sasa?
Ahsanteni.