Je mgao wa Umeme umeanza?

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,773
7,275
Huku kwetu leo ni siku ya tatu mfululizo ikifika saa kumi na mbili jioni Tanesco wanakata umeme mpaka saa sita usiku, je mgao wa umeme wa kimya kimya ndio umeanza? Maana mvua haijanyesha na sijui hali ya mabwawa ipoje?

Je huko ulipo wewe member wa JF hali ya umeme ipoje?
 
Back
Top Bottom