Mpaka COVID19 iishe tutaulizwa mengi



Hayo nawaachia wabobezi....maana moyo wangu mwepesi kama karatasi......Vipi unataka kusajili kibemten kipyaa?


Kwanini u mwepesi?Hayo nawaachia wabobezi....maana moyo wangu mwepesi kama karatasi......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanawake ndio wanawivu, mabaharia huwa wanatafuna tu bila hofu, ili mradi unamtemgea muda wa kumpa Nyapu.
Vipi U natafuta kiben10?.
Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu wanawake ndio wanawivu, mabaharia huwa wanatafuna tu bila hofu, ili mradi unamtemgea muda wa kumpa Nyapu.
Vipi U natafuta kiben10?.
Sent using Jamii Forums mobile app
In fact mchepuko hauna guarantee ... Unaweza kuachwa, jamaa akaenda kwa mchepuko mwengine.Mwee ina maana mnakua hamuwapendi, maana mtu unayempenda lazima utamuonea wivu.
Mmmmmmh!!!!Hapana niamin...mwanaume hachepuki kwa kuhamishia upendo wake toka kwa mkewe kwenda kwa mchepuko.
Mke atabaki kua mke... Ndio maana mchepuko ndio atajaribiwa kuombwa vilivyo halali na vya haramu.In fact mchepuko hauna guarantee ... Unaweza kuachwa, jamaa akaenda kwa mchepuko mwengine.
Lkn mke yuko pale pale 100%!!.