Mke wake yuko sahihi na hawezi kuwa na amani ikiwa mumewe anajihusisha na wewe kwa karibu. Anawasi wasi na nyie kukulana tu which might be true huwenda mshatafunana college huko.Dah mkeo naye hajakua bana na utoto unamsumbua kwanini ahangaike na simu ya mumewe Sasa, maana na hyo Hali hukera kwelikweli kufatiliana ka watoto wadogo na kupangiana maisha honestly Mimi mtu wa hivo hata sijibishani naye nahama nyumba, sema wewe una mdunda isije leta shida, my Friend, classmate wangu wa bachelor huwa tunapiga sana story na kucheka na hata kushauriana, Sasa mke hataki yeye aongee na mimi au marafiki wengine wa kike Sasa najiuliza ina maana ukioa huruhusiwi kuongea hata na marafiki wengine, Sasa rafiki yangu hupiga Hadi anazimia kisa wivu, to me too much jealous naona ni ukichaa huo
Asee mwanamke mwenye kisasi ni mbaya sana. We unaonesha hukubaligi kushindwa na unatabia ya “nimkomeshe”[emoji23][emoji23][emoji23] poleni huyo kakosea ila na nyie mnapenda kupiga Mimi kwa kweli tutapigana na nitalipiza kisasi kwa kulala hata na kisu mtu anayenipiga na Kuni provoke siwezani naye kabisa
Hizo nguvu za kurudisha zinaonesha wewe ni kiburi kwa kiasi gani. Mwanamke mpaka akifikia kupigwa kofi wengi hu retreat na wanagunduaga wamevuka mipaka.Mimi mwenyewe ningerudisha wala nakuvizia na mimi lazima nikuweke alama Ili usinisahau
Huyo hawajui wanawake ,hakuna anayependa kumpiga mwanamke Ila samtaimz wanawashwa miili yao.Unaongea neno moja yeye ameshaongea maneno Mia tena maneno mabovu matupuHii haifanyiki makusudi bali inatokea tu
Huwajui wanawake mkuuMfano ungekuwa na plan b ukampa ulichokifuata ukaondoka Zako... kumpiga mwanamke ni weakness
Sio kwa misifa hyooWewe kupigwa ni kumkosea Mungu! Unaonesha unajielewa sana kwenye mahusiano na how to deal with a man!
Heee alikufuma na sms ama kitu gani sasa mpaka ikawa hivyo! Wivu huwa na chanzo sikuzoteSio kwa misifa hyoo
Mkurya Alidhani ninayomfanyia namfanyia na mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Halafu Bushmamy sijui kwanini unanisisimua tu nakuelewa elewa.MI mwenyewe nakurudishia mzee, japo sinaga hata hizo nguvu lakini lazima tutakunjana Man
Yeye mwenyewe anatafuta namba ngeni anakutumia mesej kwamba nimekumiss tukutane tena mahali flani halafu anakimbia haraka haraka kushika simu yako anaona hyo mesej anaanza kukupiga. Siku nikagundua maana kuna simu ya mtoto wa kakake anayesoma sasa simu walikuwa hawaruhusu huko shule akawa ameiacha pale. Si nkakutana na hyo mesej. Nkaliaaa hakuna mfano. Ule haukuwa wivu ulikuwa upoyoyoUlikuwa unamfanyeje hadi anakupiga?
Chanzo alikuwa anakitengeneza mwenyeweeeHeee alikufuma na sms ama kitu gani sasa mpaka ikawa hivyo! Wivu huwa na chanzo sikuzote
Huyo jamaa ni ndezi huo wivu wa kishamba wa kutumiana na sms za ajabu😅 kwahio mshaachana au bado mnavumiliana tu?Yeye mwenyewe anatafuta namba ngeni anakutumia mesej kwamba nimekumiss tukutane tena mahali flani halafu anakimbia haraka haraka kushika simu yako anaona hyo mesej anaanza kukupiga. Siku nikagundua maana kuna simu ya mtoto wa kakake anayesoma sasa simu walikuwa hawaruhusu huko shule akawa ameiacha pale. Si nkakutana na hyo mesej. Nkaliaaa hakuna mfano. Ule haukuwa wivu ulikuwa upoyoyo
Kwa kutengeneza tatizo huo ni ubwege. Mi nikajua kakufumania na sms za ajabu ajabu😅Chanzo alikuwa anakitengeneza mwenyeweee
Upendo ukizidi inakuwa keroo
Its possible ila tukumbuke Master J anatoka na huyu binti tangu akiwa 18yrs.
Tunazibuana Man
Sipendi mwanamke kupigwa 80% wanawekaga mazingira ya wao kupigwa.
Kwanza wanajitia unyonge unaomfanya mwanaume muonevu kumpiga hata kwa kosa la kijinga.
Pili mdomo. Kuna wanawake wana midomo michafu yani hata mwanamke mwenzake ukiwa karibu ukimsikia anavyomuongelesha mtu mwingine unatamani ukaanze kumpiga wewe.
Kama ambavyo hatupendi kupigwa basi tusiweke mazingira ya kupigwa. Mtu anakupiga kila siku upo tuu.
Rafiki zangu wanasemaga nina mdomo ila sijawahi pigwa hata kibao na mwanaume huwa napenda sana kujiepusha na mazingira yanayoweza kunifanya nigombane. Kwanza sitoagi chance ya kugombana na mwanaume sasa atanipiga saa ngapi?
Wanaume acheni kupiga wanawake kama amekushinda muache aende maana hii michezo ya kupigana huwaga na mwisho mbaya.
Mwanamke usikubali kupigwa na siku huyo mwanaume anajaribu kukupiga hakikisha inakua ndio mwanzo na mwisho kukunyanyulia mkono otherwise utageuka kuwa fuko la mazoezi.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nafikiria njaa inaweza kuwa mzizi wa tatizo'I took it like a champ'
Ni kosa la nani kuiaminisha jamii kwamba kupigwa ni kipimo cha upendo? Kwamba wivu ni namna ya kuexpress unavyompenda mtu? Kwamba ukipigwa ukavumilia "You are a champ"?
Wanawake wamekua programmed kua victims since birth no wonder mwanamke atapigwa na partner wake atalia atanyamaza na atajiona yeye ndiye kisababishi cha kupigwa.
Kama uhusiano wako upo hivi tafadhali jua upo kwenye uhusiano na manipulator. Atapindua maneno kukufanya uone wewe ndiye mwenye makosa, atakufanya uhisi bila yeye hauwezi.
Na jamii inachukulia kupigana ni sehemu ya maisha ya ndoa, hili swala linaonekana la kawaida kiasi kwamba Shaa yuko proud to take a beating.
'I took it like a champ'
Beaten by somebody you believe you love each other. Ni upuuzi.
Nilimuachia polisi maana aliendekeza vipigo vyake bila mpango. Ni mchumba hadi home alishajitambulisha ila bi mkubwa akasema huyu hakufai. Mwanaume wa kwanza huyu...Huyo jamaa ni ndezi huo wivu wa kishamba wa kutumiana na sms za ajabu[emoji28] kwahio mshaachana au bado mnavumiliana tu?
Utawapiga chini wangapi mkuu? Unafikiri ni rahisi kumpata mwanamke asiye na maudhi?Mwanamke hapigwi
Kumpiga mwanamke ni ulimbukeni+ushamba
Mkiona hamelewani piganeni chini
Ova
Alikuwa ananikagua kila siku hadi kuninusa papuchi kuangalia kama ninauza mechi....hahaha halafu ni kaboy tu.Kwa kutengeneza tatizo huo ni ubwege. Mi nikajua kakufumania na sms za ajabu ajabu[emoji28]
Dah noma kweli kweli yani😅 ila huko dunia nyingine maisha yanaendeleaje maana huku dunia ya tozo ni mvurugano kweri kweriNilimuachia polisi maana aliendekeza vipigo vyake bila mpango. Ni mchumba hadi home alishajitambulisha ila bi mkubwa akasema huyu hakufai. Mwanaume wa kwanza huyu...
Niliumia wewe kwa zaidi ya miaka 4 nalia tu. Kuna kitu nilifanyiwa na wazazi kwa kupelekwa ulimwengu mwingine ndo kikanisaidia kumsahau.