Je man city wanaweza kuvunja utawala wa man u ndan ya misim 3 ijayo?

Jul 13, 2011
64
8
Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
 
Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
Sheria mpya za UEFA zinawabana Man City kutumia fedha nyingi,so far hadi sasa wamesajili wachezaji 2 tena hakuna hata anyefikia pauni mil 10,huenda wakanunua mshambuliaji kama TEVEZ ataondoka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…