MPHINGU JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 518 Reaction score 617 Jul 18, 2017 #1 Wakuu nimelazimika kuwauliza suali hili, baada yakuona ugonjwa huu wa malaria unavo leta maafa kwa binadamu na jinsi waganga wakienyeji wanavo wahakikishia wananchi kuwa wao wanauwezo mkubwa wakutibu Malaria kwa kutumia mitishamba. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nimelazimika kuwauliza suali hili, baada yakuona ugonjwa huu wa malaria unavo leta maafa kwa binadamu na jinsi waganga wakienyeji wanavo wahakikishia wananchi kuwa wao wanauwezo mkubwa wakutibu Malaria kwa kutumia mitishamba. Sent using Jamii Forums mobile app
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Jul 18, 2017 #2 Inatibika. Alovera na muarobaini Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app