Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,387
- 13,714
Umelete hoja nzuri... Tatizo ni uelewa wala si maandamano. Waelewesheni watu waelewe kwanini mnataka waandamane...Vijana bana, mnaongea humu Ila kesho tukisema njooni barabarani tuandamane wote mnageuka kuwa CCM ooh wanatuita tuandamane Ila wao watoto wao hawapo.
Tanzanians you deserve this. Hii ndio maana halisi ya kutawala watanzania na mpo hivyo najua mtanishambulia.
Hapa mnajibaraguza tu Sasa ngoja tuwaambie twendeni vitani wote mnakimbilia sinza kuvaa visuruali vya kubana, blaaaalifaken
Ukipata nafasi kula tu, hakuna mtanzania mwenye guys za kubishana
Kwahiyo before Magufuli CCM Ilikua inashinda uchaguzi?
Hoja ya mcng ni ccm walikua wanaiba kura. Jitaidi kupambana na mfumo mzima wa ccm na sio Magufuli tu.Mabadiliko hayawezi kuja kwa nyinyi kupambana na marehemu.Walikuwa wanaiba kura sio kupora mchakato. Walikuwa na afadhali, na kadiri siku zilivyokuwa zinaenda walikuwa wanazidi kupoteza majimbo yao. Magufuli kwa kiburi cha madaraka na kupenda sifa, akaamua kupora mchakato kinyume kabisa na uhalisia wa umma.
Huyu tindo alikuwa Ni GT Sana lkn tangu afe mwendazake kila hoja akibishana na mtu lazima aongelee Magu, ni kma vile kifo cha Magu kimempa ugonjwa, Magufuli alishazikwa Bora aende kwenye kaburi lake, ili amalize hizo chuki za kuchukia wafu...karibu kufatilia hoja zake zote Kwa asilimia 70 utakuja amemtaja Marehemu...hebu punguza huo ugonjwa mkuu
Hoja ya mcng ni ccm walikua wanaiba kura. Jitaidi kupambana na mfumo mzima wa ccm na sio Magufuli tu.Mabadiliko hayawezi kuja kwa nyinyi kupambana na marehemu.
Ni kweli unaweka msisitizo, lkn Yule alishakufa, umekuwa na chuki mno, yaani uki argue nawana CCM yyte unayemuongelea muda wote ni Magufuli, kuna wengine walisha choka na Hilo jina la Marehemu mkuu wangu, yaani ni kma vile anakutesa Sana jaribu kuangalia michango yako Kwa siku unamtaja huyo meenda zake mara ngapi, Je, kuna siku inapita hujamtaja? Punguza stress Kwa mtu ambye Hana effect tena. Kumtaja taja every hoja ni kma unamwinua.Nipe nauli mkuu niende kwenye hilo kaburi nikaondoe chuki. Hapa naweka msisitizo ili isitokee kiongozi muovu kama yule kupata tena nafasi ya kuongoza nchi hii.
Na ile ya Magufuli ya kuteua watoto wa Dada zake, wajomba na mabinamu zake, kabila lake na ukanda wake kwenye nafasi mbalimbali nyeti unaiitaje?Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samiaya kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.
Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.
Sijaongea na wewe wala kukutaja, naongea na GT wangu ninayemwamini, we huna effect yyte naongea na mpambanaji kindaki ndaki!Dhalimu mwendazake ataendelea kutajwa sana tu na kamwe hatutaacha kumtaja kwa udhalimu wake usio na mfano dhidi ya Watanzania hadi vitukuu wetu nao waijue hiyo jehanum tuliyopitia na aliyetupitisha huko.
Hatuwezi kupowa kuanika UFEDHULI alioufanya huyo mungu wenu wa Chato kwa Watanzania. Zitto kabwe alisema last two weeks na Mwingira kasema juzi. Hatupoi mpaka dunia nzima ijuwe kuwa tulikuwa kwenye himaya ya shetani kwa mwaka 2015-20.Ni kweli unaweka msisitizo, lkn Yule alishakufa, umekuwa na chuki mno, yaani uki argue nawana CCM yyte unayemuongelea muda wote ni Magufuli, kuna wengine walisha choka na Hilo jina la Marehemu mkuu wangu, yaani ni kma vile anakutesa Sana jaribu kuangalia michango yako Kwa siku unamtaja huyo meenda zake mara ngapi, Je, kuna siku inapita hujamtaja? Punguza stress Kwa mtu ambye Hana effect tena. Kumtaja taja every hoja ni kma unamwinua.
Samahani kma ntakuwa nimekukosea mkuu wangu, kma ujuavyo siku zote wewe ni kiongozi wangu.
Ukimtetea Mwendazake wewe ni adui wa utawala Bora na demokrasia. Tutakushambulia bila kujali unajibizana na nani. Misukule wakubwa nyieSijaongea na wewe wala kukutaja, naongea na GT wangu ninayemwamini, we huna effect yyte naongea na mpambanaji kindaki ndaki!
Sijaku quote narudia naongea na GTs only.kama Una Imani na Mwingira nenda kanisani kwake.Hatuwezi kupowa kuanika UFEDHULI alioufanya huyo mungu wenu wa Chato kwa Watanzania. Zitto kabwe alisema last two weeks na Mwingira kasema juzi. Hatupoi mpaka dunia nzima ijuwe kuwa tulikuwa kwenye himaya ya shetani kwa mwaka 2015-20.
Wewe G4rpolitics Fanya yako kwanza hatuombi bando kwako, na muda ni wakwetu. Mbona nyinyi mkimsifu hatuwaingilii? Kila mtu ashinde mechi zake
Ina maana ile iliyopitishwa na bunge la katiba inayosubiri kura tu ya raia (siku Ccm wakipenda) huitaki.Lakini Katiba Mpya ninayotaka itoke kwa wananchi na si wanasiasa na wabunge!!
Ndiyo maana nikasema naongea na GTs only Ona sasa, unaongelea Mimi kutetea, soma nilicho kiongelea na nioneshe wapi nilipomtetea, misimamo yngu ya kisiasa huijui hivyo usitake kuni force.Ukimtetea Mwendazake wewe ni adui wa utawala Bora na demokrasia. Tutakushambulia bila kujali unajibizana na nani. Misukule wakubwa nyie
Ni kweli unaweka msisitizo, lkn Yule alishakufa, umekuwa na chuki mno, yaani uki argue nawana CCM yyte unayemuongelea muda wote ni Magufuli, kuna wengine walisha choka na Hilo jina la Marehemu mkuu wangu, yaani ni kma vile anakutesa Sana jaribu kuangalia michango yako Kwa siku unamtaja huyo meenda zake mara ngapi, Je, kuna siku inapita hujamtaja? Punguza stress Kwa mtu ambye Hana effect tena. Kumtaja taja every hoja ni kma unamwinua.
Samahani kma ntakuwa nimekukosea mkuu wangu, kma ujuavyo siku zote wewe ni kiongozi wangu.
Naona hunielewi. Nafikiri wewe ni mmoja wa wafaidika. Two WRONGS don't make a RIGHT!!!!Na ile ya Magufuli ya kuteua watoto wa Dada zake, wajomba na mabinamu zake, kabila lake na ukanda wake kwenye nafasi mbalimbali nyeti unaiitaje?
Watu gani!?? Watanzania hawa hawa!!? Una utani siyo bure???Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.
Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.
Awamu ya nne imerudi kwa mlango wa nyumaKulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State Capture?
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage.
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara WAKUBWA ama MAKUNDI binafsi yaliyo na USHAWISHI KISIASA na KIUCHUMI ili kuleta mabadiliko kwa minajiri yakunufaisha Watu binafsi.
Hii itamgharimu sana sana, maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.