Ukipata teuzi sio state kepucha ukikosa ni state kepucha😅😅😅Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
mwendazake anavuna alichopandaHuyu tindo alikuwa Ni GT Sana lkn tangu afe mwendazake kila hoja akibishana na mtu lazima aongelee Magu, ni kma vile kifo cha Magu kimempa ugonjwa, Magufuli alishazikwa Bora aende kwenye kaburi lake, ili amalize hizo chuki za kuchukia wafu...karibu kufatilia hoja zake zote Kwa asilimia 70 utakuja amemtaja Marehemu...hebu punguza huo ugonjwa mkuu
Hakuna kitu kama hicho wala machafuko. Samia ni rais 2025 hadi 2035. Tutabadili katiba mpya atawale milele atake asitakeMachafuko watakuwa wameyataka wenyewe. Angalia kinachoendelea Sudan. Watu wakishachoka hata uwaue wanakuja tu. Utoe vifaru. Ndo wanavirukia. The only thing viongozi kuzisoma nyakati.
Unaposema 'SISI" Ninyi kina nani? Hebu fafanua.Hakuna kitu kama hicho wala machafuko. Samia ni rais 2025 hadi 2035. Tutabadili katiba mpya atawale milele atake asitake
Sitaki teuzi yeyote. Nafikiri hujaelewa nilicholiandika. Huenda kinakuzidi uwezo wako wa kufikiri. Kizito eh?Ukipata teuzi sio state kepucha ukikosa ni state kepucha😅😅😅
Andamana uone utakavyoshughulikiwa. Rais Bora ni Rais Samia Suluhu HassanSitaki teuzi yeyote. Nafikiri hujaelewa nilicholiandika. Huenda kinakuzidi uwezo wako wa kufikiri. Kizito eh?
Mabadiliko hayaepukiki kwa sasa.!Wezi wa kura ni sawa na wezi wa mtihani.
Mbona sioni tatizo na maoni ya Tindo?Huyu tindo alikuwa Ni GT Sana lkn tangu afe mwendazake kila hoja akibishana na mtu lazima aongelee Magu, ni kma vile kifo cha Magu kimempa ugonjwa, Magufuli alishazikwa Bora aende kwenye kaburi lake, ili amalize hizo chuki za kuchukia wafu...karibu kufatilia hoja zake zote Kwa asilimia 70 utakuja amemtaja Marehemu...hebu punguza huo ugonjwa mkuu
Dhalimu mwendazake ataendelea kutajwa sana tu na kamwe hatutaacha kumtaja kwa udhalimu wake usio na mfano dhidi ya Watanzania hadi vitukuu wetu nao waijue hiyo jehanum tuliyopitia na aliyetupitisha huko.Huyu tindo alikuwa Ni GT Sana lkn tangu afe mwendazake kila hoja akibishana na mtu lazima aongelee Magu, ni kma vile kifo cha Magu kimempa ugonjwa, Magufuli alishazikwa Bora aende kwenye kaburi lake, ili amalize hizo chuki za kuchukia wafu...karibu kufatilia hoja zake zote Kwa asilimia 70 utakuja amemtaja Marehemu...hebu punguza huo ugonjwa mkuu
Kuwaambia haisaidii kitu!! Staili ya mzee wa msoga ni hatari, yeye husimamia usemi huu " kelele za chura hazimzuii mtu kuteka mami"!!! Enzi zake walimwita "dhaifu" lakini shoppimg centre & company walishamiri! staili hiyo inarudi!!Ni wakati Watanzania tutakapoondoa woga na kuwaambia the elites/Mabwana, enough is enough. Hapo ndo tutakuwa tumepona kama nchi.
sisi watanzaniaUnaposema 'SISI" Ninyi kina nani? Hebu fafanua.
Sema wewe binafsi. Usituweke wote humosisi watanzania
Tulia hujui chochote wwDhalimu mwendazake ataendelea kutajwa sana tu na kamwe hatutaacha kumtaja kwa udhalimu wake usio na mfano dhidi ya Watanzania hadi vitukuu wetu nao waijue hiyo jehanum tuliyopitia na aliyetupitisha huko.
Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
You bet!!We had STATE CAPTURE during the Kikwete presidency na Ndio sababu ya kusabotage ile katiba Mpya kwani bila hiyo yangempatakama ya ZUMA Kule bonden!! Sasa Mama asipoangalia huyo mshauri wake anaweza kumsukumizia zigo la misumali akaishia kutumbukizwa lupango because her ignorance is no excuse!!!
Kuwaambia haisaidii kitu!! Staili ya mzee wa msoga ni hatari, yeye husimamia usemi huu " kelele za chura hazimzuii mtu kuteka mami"!!! Enzi zake walimwita "dhaifu" lakini shoppimg centre & company walishamiri! staili hiyo inarudi!!
Tatizo lako unaangalia maandamano. Nani alikuambia maandamano ndo huleta mabadiliko?Andamana uone utakavyoshughulikiwa. Rais Bora ni Rais Samia Suluhu Hassan