Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Asante kwa uwakilishiView attachment 758777
Naomba kuwakilisha
Una moyo wa ajabu kaka pamoja na kutendwa huko bado unaamini katika mapenzi,,hadi unasema unaomba hali isijirudie tena dooh kweli ya Mungu mengiMimi nililetewa hadi mimba nikasamehe...nilishafumania nikasamehe...nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe... Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada...after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo. Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga...usicheze na mapenzi.
Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke ntaeishi nae
Kama una dada hajaolewa mwambie mi nipo, nasubiriUna moyo wa ajabu kaka pamoja na kutendwa huko bado unaamini katika mapenzi,,hadi unasema unaomba hali isijirudie tena dooh kweli ya Mungu mengi
Wacha Mungu ni wepi? Ni Hawa wasichana walioshindikana mitaani wakaamua wakimbilie kanisani kutafuta wachumba?Limbwata lipo Mkuu nenda Iringa huko ukajionee!
Kuna kipindi nilikua naongea na bimkubwa akawa anasikitika tu, kama mwanangu omba upate mwanamke mcha Mungu!
Ndo hapo sasa!Wacha Mungu ni wepi? Ni Hawa wasichana walioshindikana mitaani wakaamua wakimbilie kanisani kutafuta wachumba?
Iringa vijijini. Wahehe wa vijijini. Wakija mjini kama housegirls wanafanya mambo wanampiku mama house. Ilitokea kwenye familia yetu. Usiombee.Limbwata lipo Mkuu nenda Iringa huko ukajionee!
Kuna kipindi nilikua naongea na bimkubwa akawa anasikitika tu, kama mwanangu omba upate mwanamke mcha Mungu!
Ndo hapo sasa!
"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi, straika anaweza potea"
Kuna dawa Kali sana huko vijijini Mkuu!Iringa vijijini. Wahehe wa vijijini. Wakija mjini kama housegirls wanafanya mambo wanampiku mama house. Ilitokea kwenye familia yetu. Usiombee.
Umenikumbusha long timeNdo hapo sasa!
"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi, straika anaweza potea"
Una moyo wa ajabu kaka pamoja na kutendwa huko bado unaamini katika mapenzi,,hadi unasema unaomba hali isijirudie tena dooh kweli ya Mungu mengi
Usifurukute kama mwiko, Mihasira yako iishie mlangoni!
Shikamoo kaburi!