Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,776 Reaction score 2,390 Apr 24, 2012 #1 Hapa mahala palikuwa matata sana kupita hasa wakati wa mafuriko hapa bongo. Je leo waweza kupatambua?
Hapa mahala palikuwa matata sana kupita hasa wakati wa mafuriko hapa bongo. Je leo waweza kupatambua?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,075 Reaction score 98,312 Apr 24, 2012 #2 Hapo ni Kongowe.
Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Apr 24, 2012 #3 sijapatambua. tatizo bongo karibu sehemu zote zinafanana. inawezekana ikawa Musoma, tutajuaje?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Apr 24, 2012 #4 kigogo sambusa hapo..
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,776 Reaction score 2,390 Apr 24, 2012 Thread starter #5 Badoooo!!!
K kula kwa tindo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,330 Reaction score 324 Apr 24, 2012 #6 Lole Gwakisa said: View attachment 52574 Hapa mahala palikuwa matata sana kupita hasa wakati wa mafuriko hapa bongo. Je leo waweza kupatambua? Click to expand... Mkuu nikupe mji..
Lole Gwakisa said: View attachment 52574 Hapa mahala palikuwa matata sana kupita hasa wakati wa mafuriko hapa bongo. Je leo waweza kupatambua? Click to expand... Mkuu nikupe mji..
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,812 Reaction score 14,959 Apr 25, 2012 #7 Naona wanbodi wamenyoosha mikona juu.
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,776 Reaction score 2,390 Apr 25, 2012 Thread starter #9 kula kwa tindo said: Mkuu nikupe mji.. Click to expand... Naona zimepita siku mbili na hakuna jibu sahihi! Hapo ni VINGUNGUTI (niko upande wa Vingunguti machinjio nikitazama upande wa Tabata)kabla daraja halijajengwa.
kula kwa tindo said: Mkuu nikupe mji.. Click to expand... Naona zimepita siku mbili na hakuna jibu sahihi! Hapo ni VINGUNGUTI (niko upande wa Vingunguti machinjio nikitazama upande wa Tabata)kabla daraja halijajengwa.
M Malipo kwamungu JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 574 Reaction score 86 Apr 25, 2012 #10 Aaah mbona simple hapo ni KAZURAMIMBA! Umewahi kutoa jibu