Je LAPF wanatoa mikopo ya Elimu?

Je LAPF wanatoa mikopo ya Elimu?

365

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
1,377
Reaction score
1,460
Mwenye ufahamu anisaidie kama LAPF wanatoa mkopo wa Elimu .
 
wanatoa kwa wanachama walochangia kuanzia miaka 2.

Mkuu, hapa sijaelewa sorry. Wanalipa ada tu, au wanakupa fixed amount of money then wewe ndio utajiongeza?

Hafu malipo unakatwa kulekule kwenye pesa ya uzeeni?
 
Back
Top Bottom